Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,653
Unajua kumbe! Ila unatakiwa ujue hata watoto wa baba mmoja hawalingani. Na hata urithi hawawezi kupata sawa, hata kupendwa hawapendwi sawa ingawa mzazi ni mmoja
bila picha wao walijua kabisa watu wata watazungusha hii story mpaka ushindwe kuamini nini ni ukweli wametuweza hapoYatasemwa mengi..
Hiyo list mbona iko mitandaoni siku nyingi tu nenda
FBI - Most Wanted Terrorists
FBI - Ten Most Wanted
Unamwaminije mtu mwongo wewe? Mtu ambaye hata hakujua anakoenda akifa akawaomba mumswalie! Ajabu! Hata mjinga hakosi wa kumsindikiza kumbe, ilimradi tu umewapofusha kwa majini.
........................ Wewe ni muimbaji wa mapambio tu ! Muhammad SAW ni bin adam, kama YESU alivyojiita mwana wa ADAM mara kadhaa katika BIBLIA. Ibrahim, Musa, Yakobo, Harun, Daudi, Suleiman ! hawa walikuwa malaika ? Musa alionywa na Mwenyezi MUNGU kwa Hasira zake, na MUSA aliua "MTU" kwa mikono yake, unalijua hilo !:happy:
Pia ujue Isaah siyo Yesu! Mmoja kazaliwa chini ya mtende, mwingine kwenye hori la ng'ombe! Hadi hapo hujajua tu kuwa mmoja ni wa kweli na mwingine ni kivuli? Hata matendo na vifo vyao havijafanana bwana.
Kwani jamani watu kuacha wosia lazima wajue watakufa karibuni?
Mbona na mimi nimeandika wosia japo ni mzima wa afya tele? Sembuse Osama aliyejua anawindwa usiku na mchana!
Mkuu kwani wosia wako ulioandika unatembea nao mfukoni?
Huo wa Osama wameupata wapi?
Unless tupate taarifa za ziada za wapi wamepata wosia huo, nitaendelea kuwa upande wa wale wanaotilia shaka taarifa hizo
Mwanzo wa mwisho wa al qaeda!
Msitake kulazimisha kitu ambacho hakipo, ebo mbona Mkapa hatokei popote anapoalikuwa na JK na hatuulizi? Bush kama Republican hataki kumpa ujiko Obama (democrat) especially kwenye kipindi cha kuelekea kwenye uchaguzi, Alishatoa press release na kutoa pongezi hiyo inatosha vile vile tangu ameondoka madarakani amekuwa haonekani sana hadharani.
KUNDI la Al Qaeda, huenda likamteua Ayman al Zawahiri, ambaye ni mzaliwa wa Misri, kuwa kiongozi wake, baada ya kuuawa kwa muuasisi wake, Osama Bin Laden, mapema wiki hii.
Maofisa wa usalama wa ngazi za juu nchini Marekani wamesema ingawa hakuna mambo mengi yanayojulikana kuhusu Zawahiri, lakini ndiye mtu aliyekuwa wa karibu na bin Laden.
Imeelezwa kuwa mtu huyo ndiye aliyekuwa akipanga mashambulizi kadhaa dhidi ya Marekani.Kutajwa kwa Zawahiri katika kumrithiri bin Ladeni, kumetokana na watu kumwelezea kuwa ni mtu jasiri na anayeweza kutetea kile anachokiamini kuwa ni haki. Lakini wanamtandao wengi wa Al-Qaeda, hawamwamini kutokana na tabia yake ya kuamini kuwa anachofanya yeye ndicho sahihi zaidi na kusimamia imani hiyo bila kukubali kubadilika.
Bin Laden aliita namna hiyo ya kudai haki kuwa vita ya jihadi au vita vitakatifu dhidi ya Marekani.
Kwahiyo mkuu unataka kutuaminisha Osama aliuwawa sokoni na sio nyumbani kwake! Masheikh wenzake wanalia wewe bado unatilia shaka taarifa, karagabao.
Mkuu usijihangaishe. Hawa vijana bado wanahangaika na laana ya ngozi nyeusi. Hawafuatilii mambo. Suala la Al-Zawahir linafahamika miaka kibao sasa. Wao wanaona hii ni ishu mpya. Achana nao. Hangaikia maendeleo ya nchi yako, utaishia kubishana na watu wanaoendekeza emotions badala ya hoja na utafiti. Wao mambo ya dini ni kama Yanga na Simba. Sasa hivi thread hii itageuka mahubiri na mihadhara.
Sitilii shaka kifo chake mkuu, natilia shaka wosia, kwamba:
-Amezuia watoto wasijiunge al qaeda
-Kwamba wake zake wasiolewe tena ( Hii sio kanuni za Waislamu- mke ana haki ndani ya uislamu kuamua kuolewa au asiolewe baada ya kifo cha mume, kumkataza asiolewe ni kunyume na uislamu)
-Hayo mkuu wangu ndio kati ya machache yanayonipa mashaka juu ya wosia huo.