huyu jamaa alikuwa mwanaume
duu kazi kweli..
huyu jamaa alikuwa mwanaume
Kwani kuwaua watu hatari ni uonevu?...usishangae kama watamuua wakaja na jina jingine la mtu "hatari" na kuendeleza uonevu wao, ...
Kwani kuwaua watu hatari ni uonevu?
KUNDI la Al Qaeda, huenda likamteua Ayman al Zawahiri, ambaye ni mzaliwa wa Misri, kuwa kiongozi wake, baada ya kuuawa kwa muuasisi wake, Osama Bin Laden, mapema wiki hii.
Kitabu hicho pia, kinaonyesha jinsi Zawahiri alivyoandaa mpango wa kulipua majengo ya Marekani Septemba 11 mwaka 2001. Hali kadhalika, kinaonyesha namna Zawahiri alivyotekeleza mapango huo akishirikiana na mshirika wake wa karibu bin Laden.
Hi thread imejaa vitu muhimu kuhusu ugadi..thanx kwa taarifa mkuu.
Hiyo list mbona iko mitandaoni siku nyingi tu nendamkuu sijakataa wasiuliwe, kama ni hivyo basi watoe list ya watu "hatari" wajulikane sio mchezo wao wa kupokezana kijiti... watu wasiokuwa na hatia waliouliwa Afghanistan eti kisa ni Osama anatafutwa wewe unaona ni sawa?? na waliouliwa Iraq eti ni silaha za maangamizi zinatafutwa ilikuwa sawa?? huo ndio mimi nianouita uonevu!!!!