Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,506
- 108,882
Lakini pia jamani hata kama ni kweli utata ni mkubwa kuliko ukweli wenyewe hiyo nyumba yenyewe imekaa tofauti na zote hiyo sehemu mtu anayeelezwa kuwa na akili na gaidi mkubwa kukaa kwenye nyumba kama hiyo ambayo iko visible na most likely kuwa suspected bila kujitengenezea kitu kama njia za chini kwa chini za kutorokea kuelekea hiyo milima ya Afganistani inawezekana kweli? Michoro ya nyumba ni mizuri kuliko nyumba yenyewe na wala sioni kuwa ni complex fulani na hizo features wanazoeleza kwa mtu gaidi ya std ya Osama sijui kama angeweza kukaa humo. Any way acha jogoo wa dunia wa wikie vitetea vyao si wengine twaishi ulimwengu wetu wenyewe na ufalme wetu si wa dunia yao.
Hata walipotaka kwenda kuvamia Iraq pia shetani bush na watu wake walitoa solid evidence, kuwa jamaa anamiliki siraha za maangamizi. Na kweli tuliziona, tena nyingi kweli kweli.Shirikisha ubongo wako japo kidogo, Wamarekani wanacho kila kitu, ikiwemo live coverage video ya tukio zima la mauwaji ya huyu Shetani Osama, lakini wewe huwezi kuwapangia CIA ni muda gani wazitoe hizo solid evidence, kwa sababu kila wanachofanya wao wanaangalia maslahi ya Marekani kwanza, na sio kuwaridhisha nyinyi watu wa kwenye vijiwe vya ubishi wa kwenye kahawa.
Nafikiri mungu hawezi kutunyima vyote, hiki ndio kipaji pekee tulichonacho Watanzania. BISHANA MPAKA UFE. Usichokijuwa tu ni kwamba alikuwa anahifadhiwa na serikali ya Pakistan, kwa sababu ya upumbavu ule ule wa huyu ni mwislamu mwenzetu.
Hata walipotaka kwenda kuvamia Iraq pia shetani bush na watu wake walitoa solid evidence, kuwa jamaa anamiliki siraha za maangamizi. Na kweli tuliziona, tena nyingi kweli kweli.
Labda mkuu ungenisaidia mimi mbumbumbu kunijurisha ni kwa nini Pakistan inajieleza kwa Marekani kwamba haikuwa inajuwa kama Osama amejificha Pakistan? hivi haujuwi kwamba baadhi ya Intelijensi ya Pakistani ilikuwa inahusika kumpa hifadhi Osama? na je kama wewe unaishi Marekani haujasikia kwamba CONGRESS wanaishauri serikali yao kwamba, kama ikithibitika Pakistan ilikuwa inajuwa kwamba Osama yupo Pakistan basi Marekani ikate msaada wa mabillioni ya dollar kwa Pakistan? hivi mnatumia akili zenu kufikiri vizuri kweli?
Hata walipotaka kwenda kuvamia Iraq pia shetani bush na watu wake walitoa solid evidence, kuwa jamaa anamiliki siraha za maangamizi. Na kweli tuliziona, tena nyingi kweli kweli.
Mkuu mbona sie Tanzania tulimuifadhi Laurent Kabila, Wamba Dia Wamba kweupe na hatukutengeneza nyumba mbili mbili na serikali ya Mobutu haikuwashika, kwa kifupi Pakistan wameachwa uchi kwenye hii issue hawana pa kutokea miaka yote Hamid Karzai alikuwa anasema Osama yuko Pakistan, lakini serikali ikawa inakana wee sasa amekutwa kajificha karibia na shule yao kubwa ya kijeshi.Kama ndivyo basi siwangetengeneza nyumba tatu nne randomly zinazofanana kiaina ma hata status ili kupotezea? Vipi wampeleke kwenye sehemu ambayo hata mm nikiwa mgeni hapo ntajua huyo mtu anaumuhimu fulani huo mtaa na lazima nitapenda kuchimba historia yake? Yaani Osama asumbue dunia nzima miaka yote ashindwe kuwa na akili ya kutengeneza cover na escape roots zinazoeleweka? I should then doubt my common sense!
Aaaaah Mkuu sasa mambo gani hayo tena, kwani wewe ukuona michoro iliyo onyeshwa baraza la usalama la umoja wa mataifa?Hebu niambie ni zipi hizo nyingi (Japo moja) unazosema walizitoa kama solid evidence (nasisitiza Solid evidence). Taja moja tuichambue kwa kina.
Hizo Hisia (emotions) zinatoka wapi sasa...!3D said:Nimekuuliza swali katika post namba 1121 hujanijibu. Nimesubiri kwa zaidi ya nusu saa. Sasa naingia usingizini. Ila ushauri wangu kwako, weka hisia (emotions) pembeni, leta hoja.
All-in-all, Gaidi la Kiislamu, Osama bin Laden limekufa, right?
Aaaaah Mkuu sasa mambo gani hayo tena, kwani wewe ukuona michoro iliyo onyeshwa baraza la usalama la umoja wa mataifa?
Hotuba za George Bush, Rumsfeld na wengine wakitangaza ilo jambo... au ukumbuki?
Hizo Hisia (emotions) zinatoka wapi sasa...!
Sasa wewe na G.W.Bush nani mkweli?
Ungenisoma vizuri tangia mwanzo, tena kwa kurudia rudia nilichokiandika ungekwisha nielewa mapema. Namaanisha nini!Well, nilikuwa sijaiona hii. Bush likely ni mkweli na mimi mkweli. Ukweli wa Bush ni kusema ukweli juu ya ukweli ambao ni "uongo" alioaminishwa kuwa ni ukweli. Yeye kama Rais aliongea yale aliyotaarifiwa. Suala la kumpotosha Rais lilichangia Ramsfeld, Collin na bosi wa CIA kuachia ngazi. Hata Paul Bremer aliachia ngazi. Hivyo Bush likely alikuwa mkweli kwa kuusema "uongo" alioaminishwa kuwa ni ukweli, yeye si mpelelezi. Mimi ni mkweli kwa kuwa nasema nachoamini ni ukweli, kama ni uongo sijui. Nobel Laureate Niels Bohr (we ni mwanasayansi unamfahamu) alisema, "Uongo hutenguliwa na ukweli na ukweli hutenguliwa na ukweli mkubwa zaidi."
Kuna picha nyingine (chini) inazungukua kwenye mitandao, ukiiangalia kwa haraka haraka unajua ni fake..White house wamesema watatoa picha watazionesha