SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
kulingana na chombo cha habari fox news, Osama alifariki kabla ya juzi Afghanstan na kuzikwa, alifariki kwa matatizo ya mapafu yalokuwa yakimsumbua kwa kipindi kirefu, isije ikawa wamarekani wamefukua maiti yake na kujitengenezea jina kuwa mtu walomshindwa kwa zaidi ya miaka kumi wamemuua wao, kumbe kafa natural death, kwa habari zaidi wadau gongeni www.foxnews.com
Hicho kichwa chenye matundu ya risasi umekiona wapi?. Hebu tupe hiyo link na sisi tukajionee!.Naweza kukubaliana na wewe. Kwani mazingira ninayoona ktk tv ni ya kijanjajanja hayaeleweki. Mara wamepambana naye kwa risasi lakini tunaoneshwa damu kidogo kitandani sijui alilala wakati wanapigana ? Pia wanaonesha kichwa chenye matundu ya risasi lakini mwili hauna damu. Sijui vipi hapo
Hicho kichwa chenye matundu ya risasi umekiona wapi?. Hebu tupe hiyo link na sisi tukajionee!.
All-in-all, Gaidi la Kiislamu, Osama bin Laden limekufa, right?
Babu wewe umeiona maiti yake?
Huo ni usanii ili wajinga wasijue sio kweli kabisaaaaaaaa it's well arranged ili kuhadaa ulimwengu obama kachemsha huo ni ujanja wa kupata kura baada ya kuanguka kwenye midterm election tunataka picha ya osama akiwa mfu sio usanii wa kuweka passport size na kuuhadaa ulimwengu,saddam,udei na qusei waliweka picha cnn,bbc,aljazeera wakapiga hata za mazishi wakapiga tukaona,iweje za osama hakuna kazikwa shuta shuta fasta fasta hapo mwerevu ajue mjinga akubali
Hao Fox News ni wanga tu, si umesikia hata yule mwanga Dick Cheney anadai haya yote ni matunda ya waterboarding?.mkuu umepita lakini foxnews kujiridhisha?
Nogopa tunahandle mambo emotionally sana kuliko uhalisia.
Osama bin Laden, A.K.A. CIA Asset "Tim Osman"All-in-all, Gaidi la Kiislamu, Osama bin Laden limekufa, right?
Hivi kuna uhalisia zaidi kuliko kukiona kitu laivu bila ya chenga?
NN vyovyote vile awe wa kuchongwa ama kweli ali exist bado hao wa marekani wanaonekana kituko na sera zao za nchi za nje na watabaki wavunjaji wa amani ya dunia mpaka watakapo badilisha sera zao.Hivi kuna uhalisia zaidi kuliko kukiona kitu laivu bila ya chenga?
Watoe hizo picha, then we will have no doubts of our belief....
Huo ni usanii ili wajinga wasijue sio kweli kabisaaaaaaaa it's well arranged ili kuhadaa ulimwengu obama kachemsha huo ni ujanja wa kupata kura baada ya kuanguka kwenye midterm election tunataka picha ya osama akiwa mfu sio usanii wa kuweka passport size na kuuhadaa ulimwengu,saddam,udei na qusei waliweka picha cnn,bbc,aljazeera wakapiga hata za mazishi wakapiga tukaona,iweje za osama hakuna kazikwa shuta shuta fasta fasta hapo mwerevu ajue mjinga akubali
Hivi kuna uhalisia zaidi kuliko kukiona kitu laivu bila ya chenga?
Mkuu Pakistan wanajua wakikubali kuwa walikuwa wanajua basi misaada ya kijeshi na kijamii itasitishwa ndio maana wanalazimisha kusema hawakuwa wanajua. Na kwa sasa USA hawawezi kufanya lolote kwa sababu wanaitegemea Pakistan kwa ajili ya supplies za majeshi yake Afghanistan vile vile issue ya Nuclear za Pakistan hawataki ziishie kwenye mikono ya Taliban.Labda mkuu ungenisaidia mimi mbumbumbu kunijurisha ni kwa nini Pakistan inajieleza kwa Marekani kwamba haikuwa inajuwa kama Osama amejificha Pakistan? hivi haujuwi kwamba baadhi ya Intelijensi ya Pakistani ilikuwa inahusika kumpa hifadhi Osama? na je kama wewe unaishi Marekani haujasikia kwamba CONGRESS wanaishauri serikali yao kwamba, kama ikithibitika Pakistan ilikuwa inajuwa kwamba Osama yupo Pakistan basi Marekani ikate msaada wa mabillioni ya dollar kwa Pakistan? hivi mnatumia akili zenu kufikiri vizuri kweli?
...........kafiri ni kafiri tu ! Uislaam ulikuwepo tokea wakati wa Adam na Hawa ! sembuse OSAMA !:happy:
Labda mkuu ungenisaidia mimi mbumbumbu kunijurisha ni kwa nini Pakistan inajieleza kwa Marekani kwamba haikuwa inajuwa kama Osama amejificha Pakistan? hivi haujuwi kwamba baadhi ya Intelijensi ya Pakistani ilikuwa inahusika kumpa hifadhi Osama? na je kama wewe unaishi Marekani haujasikia kwamba CONGRESS wanaishauri serikali yao kwamba, kama ikithibitika Pakistan ilikuwa inajuwa kwamba Osama yupo Pakistan basi Marekani ikate msaada wa mabillioni ya dollar kwa Pakistan? hivi mnatumia akili zenu kufikiri vizuri kweli?