Dumelambegu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,052
- 260
2011 ni mwaka ambao hautasahaulika kwenye historia ya dunia hii....hasa kwa madikteta wa nchi za kiarabu na watu kama wakina Osama.
Hakika mwaka 2011 ni mwaka wenye usiri mkubwa sana kwa mungu wetu!....marais wanatimuliwa ikulu kwa nguvu za umma....na kwingineko magaidi wa kimataifa wanakufa kifo cha mende. Heeee mwenyezi mungu hatuwezi kupingana na wewe na endelea kufanya kile ulichopanga kufanya ndani ya mwaka 2011!.....Jina lako tunalitukuza daima na milele!
"Akhsante" "Wewe wajisemea ama wengine wamekuambia useme hivyo?"
What the hell do you think you are? A great thinker? You must be kidding you toddler.
Ulitakiwa uisome hii hapa kwanza kabla ya kukurupuka.
Originally Posted by Ta Muganyizi
Tafsiri yake ni kuwa hakuna marefu yasiyokuwa na ncha, chenye mwanzo kina mwisho, sasa jamaa kakosa nini? Kwani wewe lazima uchangie? Watu mnakuwa na chuki ambayo haina sababu ka wajawazito. Angalia vizuri na wewe unaweza kuwa mjamzito ,ujauzito ulioupata kwenye mkesha, maana we mkeshaji.
Hivi toka usiku mkali hadi wasaa huu kinachoendelea kwenye media za nje kuhusu osama ni propaganda? Chunguza tena halmashauri ya ubongo wako mkuu
Nyie wengine ni akina Tomas ktk Biblia, haya picha hiyo.
he is the first black president and first ever to kill osama.... Kenya wapate sifa
YouTube - Documentary - Moon Landing Hoax - Conspiracy Theory - part (1)You don't need to believe if that's what you want. Kwani hadi leo kuna wasioamini kwamba NASA walitua mwezini. Hadi leo kuna wasioamini kuwa Sadam, Tupac na hata Elvis kuwa wamekufa. so I think it is up to u
adobe photoshop hiyo wewe!