R.I.P Osama Bin Laden
so you mean after Osama who is next? Obviosly is CCMKuna siku tutasema:
1. Alikuwepo Osama.
2. Alikuwepo CCM.....
3. Alikuwepo Ridhiwan ................
Ajabu ni kuwa, wakiwa TOP, wanajisahau kuwa wanaweza kuanguka mweleka mbaya sana.....
hakuna mtu atakaye kuwa na uwezo wa ku i finance al-qaeda kama OSAMA
mkuu osama kwa sasa ni km kauli mbiu au neno la kifalsafa tu, haimaanishi mwisho wa ugaidi.
mkuu wapo wengi wamejificha kwa mgongo wa osama, hata leo hii ukitengeneza bomu ukalilipua ubalozi wa marekan jamii ingesema ni osama kumbe hata hukutumwa na huyo osama. Osama katengeneza falsafa tu ya watu kutumia jina lake ndo maana naseama kafa mwili, roho bado ipo.
nani atakuwa csuccesor wake ? Hakuna mtu mwenye nguvu(pesa)tena pale ndani ya alqaeda
wataje sasa
kwann hakuwa na management yake? lazima wapo, + mataifa maadui wa marekani.
nazani wewe ndo unataka kukataa ukweli-hata kama yeye hajahuisika 100%-as long yeye ndo kiongozi wa kikundi chake na amekuwa akijitahid ku-mastermind vijana wake-lazima awe accoutableKaka unauza chai unafanya kazi FBI??
Soma hii FBI says, it has "No hard evidence connecting Bin Laden to 9/11"
Poa
Hivi bado kuna mtu anaamini Al qaeda ndio walipanga na kutekeleza 911?
Hahahaha mkuu, I know kuna watu hii habari si nzuri kabisa kwao kuelekea 2012. There will be a lot of consipiracy theories to distort the truth. Obama got him!