Orodha ya watanzania wanaounga mkono uwekezaji wa bandari bila hata kuhitaji maboresho ya mkataba; tuwataje may be wapo sahihi

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
879
4,125
Kwa mimi mtu niliyemwona anapiga chapuo ya uwekezaji wa bandari na hataki kabisa kusikia kwamba mkataba una shida ni mmoja tu. Naomba nimtaje then mtatusaidia kuwafahamu wengi kwa ajili ya kumbukumbu za wajukuu zetu na kwenu vijana kumbukumbu zenu na watoto wenu.
1. Dr. Tulia Ackson- huyu mkuu wa Muhimili imani aliyonayo kwenye mkataba nadhani hata yeye mwenyewe anajishangaa. Sina mwingine
 
Dr uchwara aliyefundisha kina njaa aka mayala.
 
Kwa mimi mtu niliyemwona anapiga chapuo ya uwekezaji wa bandari na hataki kabisa kusikia kwamba mkataba una shida ni mmoja tu. Naomba nimtaje then mtatusaidia kuwafahamu wengi kwa ajili ya kumbukumbu za wajukuu zetu na kwenu vijana kumbukumbu zenu na watoto wenu.
1. Dr. Tulia Ackson- huyu mkuu wa Muhimili imani aliyonayo kwenye mkataba nadhani hata yeye mwenyewe anajishangaa. Sina mwingine
Hako kadada ni ka Delila.
 
Mungu ibariki DP world .

Binafsi naona kama mkataba unachelewa hivi,wafanye chap watie saini uwekezaji uanze hapo bandarini.
 
Back
Top Bottom