666 chata
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,710
- 4,025
Hawa ni wale wasanii ambao bado hawajaukubali ukweli na kila wakihojiwa wanasema wanaanda album au kuna kazi zao zinakuja mashabiki wasikilizie tu;
1. Q Chief
2. TID
3. Baraka da Prince
4. Young Killa
5. Mh. Temba
6. Chege
7. Rich Mavoko
8. Aslay
9. Maua Sama
10. AY
11. Fid Q
12. Joh Makini
13. Dully Sykes
14. Chid Benz
15. Beka flavor
16. Mo Music
17. Nikki Mbishi
18. Stereo
19. ....... list ni kubwa embu endelea na wewe
Sasa walio mbioni kutokusikika tena, inabidi wafanye juhudi za kipekee na wabadili mbinu;
1. Rayvan
2. Ibraah
3. Chino
4. Lavalava
5. Nandy
Muhimu watu kusoma majira, kuamka na kufanya uamuzi sahihi.