Orodha ya wadudu walevi kupindukia

fungi06

JF-Expert Member
Jul 1, 2020
632
854
Ndugu zangu nimekua niki tahamaki tabia za hawa wadudu yani kuna kabaar apa jirani kapo classic kiasi.

Ila kila nikienda kugida bia zangu lazima awa wadudu waje mezani ata walambe japo kidogo bia kabla na wao awajalala sijui ni kwa nini!!

Na mimi nimekua sio mchoyo nikiwaona tu mezani nawaekea kitone cha mvinyo ili wasione uyu jamaa mchoyo wa mvinyo.. ila uwa aipiti dk 5 washa nyausha ile tone la mvinyo ajabu nikiwaekea tone la maji wana sunya mpaka naskia.

Nikakaa nikajiuliza kumbe sio ndugu yangu pekee mshana jr ambae lazima achambe koo kabla ya kulala kumbe hata sisimizi hupendelea kuchamba koo kabla ya kulala.

Ninaushaidi unaweza na wewe ukaanza fwatilia utagundua sisimizi huwa ndo mdudu kiongozi kwa ulevi.

Je mdudu gani mwingine mlevi kama sisimizi ?

Picha ya sura ya sisimizi akiwa kasha piga sip kazaa kwa wale ambao awaifahamu hiyo apo.
images (11).jpg

Picha ya sisimizi kwa wale ambao awaifahamu hi apa
images (12).jpg

Na hawa wanatabia za kilevi huwa wanapenda mno kushirikiana

Drink beer save water..
 
View attachment 1606208

Picha ya sisimizi kwa wale ambao awaifahamu hi apa
View attachment 1606210

Huyo sisimizi alikunywa bia ngapi? Manake amechakaa hatari
 
Kuna ndege kijijini siwajui jina kwa kiswahili huwa wanakunywa ulanzi hatari! Ila uzuri wake wanakunywa kistaarabu, huwezi kuona wameshindwa kuruka au wamezima kama binadamu hata siku moja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom