Orodha ya majina ya wanachama wa CHADEMA walioteuliwa kugombea Ubunge 2015

Hapo tayari CCM wameshapiga bao karibu 75% watakuwa CCM na Ukawa 25%, kubenea naye atasema nini mbele ya Lowasa na makombora yote hayo, CCM haina haja ya kupiga kura ni kurewind santuri tu basi kazi kwisha.
 
Hapo Bunda mjini mmepatia. Natumia Wasira maji yanamhonga...........[/QUOT

Najimbo la CHATO KWAO MAGUFUL wata mkoma huyo LECTURER WANGU WA UKWEL DR LUKANIMA wakaulize mzumbe university hakika huu mwaka wa mageuz watu wanaacha mishahara yao na madeal kibao kukomboa taifa
 
ngurumo alikua anashindana na nani?
Alikuwa anashindana na engineer hivi anakaa Arusha.Alikuja wakati wa uchaguzi.Wakati mwingine kura za maoni sio determinant.Kuna watu wengi wasio chama kinachoendesha kura za maoni.Tukubaliane kuwa CHADEMA kuna information nyingi.Nimeamini walipomteuwa Ansbert na watu wengi walikuwa wanalisubiri hilo.Hapa kazi imekuwa rahisi mno.Tulisha kuwa na wasiwasi kuwa mzee wa kibuyu cha bibi atapita kwa urahisi.
 
Wakuu nani kuwa mrithi wa Mh Edward Lowasa.CCM tayari walishamtangaza Nanelock kuwa mgombea wao,leo Ukawa wamemleta Kalanga je nani kutwaa jimbo hili muhimu kwa uchaguzi huu wa 2015
 
patamu sana hapo, na inasemekana lowassa ndio alimpigia chepuo mtoto wa sokoine achukue jimbo
 
Mkuu KILUFI alihonga kwenye mchakato wa CCM sema mpunga wake ulikuwa mdogo kulinganisha na Burushi wa CCM.
Sasa hapo ni bora wangempa bwana mdogo yule mshindi wa pili. Sijui bwana ngoja tuwaachie wenyewe.
burushi hapiti hata kwa kura kile hawampendi wananchi labda mkwere asimamie show maana nasikia ni wakwe zake wale maana.
 
Uwiiiiiiiiiii leo hapa IFAKARA MJI ULIKUA HAUELEWEKI watu wanazunguka ofisi ya chadema kama HUYO JUALIKALI jimbo KILOMBERO Hayupo wachome OFISI YA CHADEMA!!!KESHO ITAKUA FURAHAAAAA MAANA NANI KAMA JUALIKAL KILOMBERO HIII!!!!!!!UKAWA OYEEEEEEEE
 
Wadau mwenye taarifa ya Bukoba vijini na Misenyi vipi huko ??

Kule chadema haipo kabisa. Kumbuka kule ni vijijini na chadema hawajagundua kuwa wanapoteza kura nyingi za vijijini, wanajiimarisha mjini tu japo kuwa hata bukoba mjini lazima lirudi kwa Kagasheki. Almost majimbo yote Kagera iko wazi yanaenda CCM.
 
Team ya wana sheria wazipitie fomu zote za wagombea Kabla ya kurejesha tume
 
Back
Top Bottom