Orodha ya majina ya wanachama wa CHADEMA walioteuliwa kugombea Ubunge 2015

Alikuwa anashindana na engineer hivi anakaa Arusha.Alikuja wakati wa uchaguzi.Wakati mwingine kura za maoni sio determinant.Kuna watu wengi wasio chama kinachoendesha kura za maoni.Tukubaliane kuwa CHADEMA kuna information nyingi.Nimeamini walipomteuwa Ansbert na watu wengi walikuwa wanalisubiri hilo.Hapa kazi imekuwa rahisi mno.Tulisha kuwa na wasiwasi kuwa mzee wa kibuyu cha bibi atapita kwa urahisi.

Ansbert ni nani mkuu? Mimi nipo kwenye jimbo hili ila simjui kwakweli. Nilimjua Najimu
 
Ndio mana kibanda alisema anamuogopa kinana,nimeamini kinana Ni Bonge la strategist,wananchi Wa monduli utawaeleza nini na kipenzi chao sokoine;
 
Atashinda Kalanga tena kwa mbali sana sana.... Mwanamke kuongoza umasaini ni sawasawa na Wanyonyi kufufuka

Mkuu hawa jamaa hawawajui Masai hawa!! Kutabiri mtanange wa Kalanga na Sokoine ni sawa na kutabiri mtanange wa Taifa stars na Brazil. Kalanga ni mbunge anaesubiri kuapishwa tuu!!
 
Wakurya waongozwe na mwanamke? Over my dead body.

Hata wakiongozwa na binti ambaye hajavunja ungo as long as ni wa CHADEMA/ UKAWA wakurya watampa kura kuliko waongozwe na wale wazee wanaolaza vitambi tu na kupumua bungeni.
 
BUNDA MJINI

WASIRA v BULAYA

Ngoma inogile

Hapo hata bulaya asipopiga kampeni atapita..wakurya hawawezi kumpa kura mtu asiyeweza hata kufunga vifungo vya koti alilovaa halafu aende akalale bungeni.
 
Haya mambo ya kuaibisha wazee sio sawa, Bulaya sii ajitoe tuu ili huyu mzee aendelee mpaka hapo Mungu atakapo mchukua! Maana yeye hataki kuachia mwenyewe.

Ataachishwa na kura za mwaka huu ili akalale kitandani kwake sasa na sii katika viti vya bunge vilivyonunuliwa na kodi ya watanzania.
 
Ahsante sana kwa kuwarahisishia masisiemu ushindi.
Sad sad 😔
 
Back
Top Bottom