Orodha ya majina ya wanachama wa CHADEMA walioteuliwa kugombea Ubunge 2015

MUNGU awatangulie.BIG UP sana kwa Esther Matiko,Esther Bulaya,Halima Mdee,Pauline Gekul,Jesca Kishoa,Suzan Kiwanga na Editha Babbeiya MUNGU awabariki katika harakati zenu za kwenda bungeni.
Hao wote hamna atayeshinda labda muwape viti maalum kamamda.
 
Baada ya tambo za muda mrefu,hatimaye Mwanadada Ester Bulaya wa CHADEMA atapimana ubavu na Mzee Stephen Wasira wa CCM katika Jimbo la Bunda Mjini. Tayari Bulaya ameteuliwa na chama chake na kuchukua fomu za kugombea leo.

Kimsingi,Bunda Mjini itatikiswa na mpambano huo uliotazamiwa kwa muda mrefu. Ni Ester Bulaya dhidi ya Stephen Wasira.
Unatuchanganya, Bulaya si alipata viti maalum?
 
Hivi PIUS wa bunda mjini ana tatizo gani jamani?
kwani nasikia ni mpambanaji huyo jamaaa
 
Wana jamvi salama nimepita taarifa ya chama cha demokrasia na maendeleo chadema kuhusu uteuzi wa wagombea wa majimbo likiwemo jimbo la kishapu wanachama walio wengi hawaliziki na uteuzi fred tungu mpendazoe kwa ushauli ili jimbo liwe chadema mludisheni kahema huyu ndio kipenzi cha wanakishapu kamati naishauli sana ubadilishe uteuzi wa fred t mpendazoe nawasilisha

Nimepita taarifa= Nimepata taarifa
Hawaliziki= Hawaridhiki
Ushauli= Ushauri
Mludisheni= Mrudisheni
Naishauli= Naishauri
 
Apo same mashariki, CHADEMA wanaweza kuchukua jimbo.Ukiacha ushabiki wa kiitikadi, Anne Kilango hamuwezi Nagenjwa Kaboyoka kwa devlpmnt strategies.kwa yeyote anayewafahamu hawa wawili vizuri hawezi pinga hili
 
Si chama cha Wanafiki. Jana alipinga katiba ya wananchi leo kapewa jimbo. Jana aliitwa fisadi leo wanamramba miguu ENL. CDM nyny wanafiki na mafisadi wa kwanza duniani. Lowassa tumepishana mlangoni. Anaingia mimi, Slaa na makamanda wengine wa ukweli tunatoka katika jumba la wezi na wanafiki.

Mimi hata sijakulewa kabisa!!

Unakosoa au unazomea tu??
 
Kwa kweli jimbo la Muleba kaskazini wamembeba sana Ansbert Ngurumo.

Naelewa alianza kujiandaa mapema lkn hajakubalika zaidi huko.Miaka mingi amekuwa nje ya Muleba, mm binafsi nadhani wamepunguza nguvu ya kuing'oa CCM jimbo hilo.

Tunote tusubiri oktober 25. Tujifunze kuacha kuwabeba watu
 
Mwenyekujua sifa zilizo mpitisha bulaya ambazo alieshinda hakua nazo plz anipe nnaanza kuona cdm inakua km ccm ya2010 je bulaya asingekuja jimbo likekosa mtu au ambae ange cmama hana cifa?
 
Back
Top Bottom