david ndelwa
New Member
- Aug 10, 2015
- 1
- 0
Momba David Silinde chdm
Hapa hatuongelei kura za uraisi,acha kukurupuka!Pemba vijimbo vidoooooogo, unakuta lowassa kamuacha magufuli asilimia 70 kumbe ni kura 3000 tu!
Magufuli akimuacha lowassa kwa huku bara amepiga hadi elfu 15 gepu!
Akiongea na waandishi wa habari muda huu January Makamba amesema CCM mpaka sasa imeshinda majimbo 176 kati ya majimbo 266 na imekomboa majimbo 12 kutoka upinzani.Aidha amesema Maalim seif Hamad kutangaza matokeo ya ushindi wa ZNZ ni mzaha.Kati ya majimbo 74 ambayo yameshatangazwa na NEC msimamo ni UKAWA 33 : CCM 44
- CUF majimbo 157
- ACT Wazaledo majimbo 1
- CHADEMA majimbo 17
- CCM majimbo 44
Rorya nimeshaiongeza kwenye hiyo list mkuu.mkuu tarime vijijini nadhani ni jimbo jipya,rorya ndio lilikuwa ccm
Mkuu,Rorya mwazoni lilikuwa jimbo la CCM?
1.Monduli
2.Simanjiro
3.Same Mashariki(Mama Kilango)
4.Siha
5.Bunda Mjini(kwa Wasira)
6.Arumeru Magharibi-hili Jimbo bado liko CCM
7.Jimbo la Christopher Chiza(huko mkoa wa Kigoma)
8.Tanga Mjini
9.Babati Mjini
10.Babati vijijini
11.Tandahimba
12.Muleba kusini(sina uhakika sana)
13.Moshi vijijini
14.Tunduma
15.Mtwara mjini
16.Bukoba Mjini(confirmed)
17.Tarime vijijini(John Heche kashinda)
18.Tarime mjini
19.Mwanga(sina uhakika sana).
20.Serengeti
21.Sengerema
22.Kaliua
23.Ndanda
24.Same Magharibi
25.Kigoma mjini
26.Rorya
Orodha inaendelea,ongeza na mengine niliyoyasahau.
Vunjo limeenda kwa Mbatia
LIVE at ITV now!
Umesahau Moshi Vijijini. Kwa Anne Kilango ni Same Mashariki sio Same Magharibi
Eti kwahiyo mama lemutuz anaungana na baba lemutuz na lemutuz kuangalia bunge kwenye tivii?