Orodha ya Majimbo ambayo CCM wameyapoteza mpaka sasa

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,423
2,000
Kati ya majimbo 74 ambayo yameshatangazwa na NEC msimamo ni UKAWA 33 : CCM 44
 1. CUF majimbo 157
 2. ACT Wazaledo majimbo 1
 3. CHADEMA majimbo 17
 4. CCM majimbo 44
Akiongea na waandishi wa habari muda huu January Makamba amesema CCM mpaka sasa imeshinda majimbo 176 kati ya majimbo 266 na imekomboa majimbo 12 kutoka upinzani.Aidha amesema Maalim seif Hamad kutangaza matokeo ya ushindi wa ZNZ ni mzaha.
 

Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
11,392
2,000
january makamba anajitekenya tu,maalimu kawatega mtego wa ikweli na ccm mlivyo kuwa hamna akili mtaingia kichwa kichwa=zanzibar tayari ni ya ukawa hata kwa damu this time hamna chenu
 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
12,123
2,000
UPDATES ya viti vya ushindi UKAWA + ACT WAZALENDO:


 1. Ndanda- Cecil Mwambe CHADEMA
 2. Rombo- Joseph Selasini CHADEMA
 3. Arumeru Mashariki ? Joshua Nassari CHADEMA
 4. Rorya- Chacha Marwa ? CHADEMA
 5. Bunda Mjini- Esther Bulaya ? CHADEMA
 6. Moshi Mjini- Jaffary Michael ?CHADEMA
 7. Same Magharibi- Kaboyoka CHADEMA
 8. Iringa Mjini ? Peter Msigwa CHADEMA
 9. Tarime Mjini - Esther Matiko CHADEMA
 10. Hai -Freeman Mbowe CHADEMA
 11. Mbeya Mjini- Joseph Mbilinyi CHADEMA
 12. Kigoma Mjini ? Zitto Kabwe ACT
 13. Mtwara Mjini - Maftaha Abdallah Nachuma CUF
 14. Arumeru Mashariki ? Joshua Nassari CHADEMA
 15. Siha - Dr. Godwin Mollel CHADEMA
 16. Monduli ? Julius Kalanga CHADEMA
 17. Tunduma ? Mwakajoka Frank CHADEMA
 18. Tandahimba- Ahmed Katani CUF
 19. Tanga Mjini ? Musa Bakari Mbarouk CUF


 

mbeziboy

JF-Expert Member
Oct 2, 2010
1,497
2,000
Dah..imekua confirmed kwamba tumepoteza jimbo la nyamagana. Mwanza wametuangusha..inasikitisha mno.
 

peace2007

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
213
195
1.Monduli
2.Simanjiro
3.Same Mashariki(Mama Kilango)
4.Siha
5.Bunda Mjini(kwa Wasira)
6.Arumeru Magharibi-hili Jimbo bado liko CCM
7.Jimbo la Christopher Chiza(huko mkoa wa Kigoma)
8.Tanga Mjini
9.Babati Mjini
10.Babati vijijini
11.Tandahimba
12.Muleba kusini(sina uhakika sana)
13.Moshi vijijini
14.Tunduma
15.Mtwara mjini
16.Bukoba Mjini(confirmed)
17.Tarime vijijini(John Heche kashinda)
18.Tarime mjini
19.Mwanga(sina uhakika sana).
20.Serengeti
21.Sengerema
22.Kaliua
23.Ndanda
24.Same Magharibi
25.Kigoma mjini
26.Rorya


Orodha inaendelea,ongeza na mengine niliyoyasahau.

Sorry, hivi David Mathayo ni wa Same Magharibi? Si ameshinda tena?
 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
12,123
2,000
Updates majimbo yaliyokwenda UKAWA + ACT Wazalendo


 1. Ndanda- Cecil Mwambe CHADEMA
 2. Rombo- Joseph Selasini CHADEMA
 3. Arumeru Mashariki – Joshua Nassari CHADEMA
 4. Serengeti - Chacha Marwa Ryoba – CHADEMA
 5. Bunda Mjini- Esther Bulaya – CHADEMA
 6. Moshi Mjini- Jaffary Michael –CHADEMA
 7. Same Magharibi- Najengwa Kaboyoka CHADEMA
 8. Iringa Mjini – Peter Msigwa CHADEMA
 9. Tarime Mjini - Esther Matiko CHADEMA
 10. Hai -Freeman Mbowe CHADEMA
 11. Mbeya Mjini- Joseph Mbilinyi CHADEMA
 12. Kigoma Mjini – Zitto Kabwe ACT
 13. Mtwara Mjini - Maftaha Abdallah Nachuma CUF
 14. Arumeru Mashariki – Joshua Nassari CHADEMA
 15. Siha - Dr. Godwin Mollel CHADEMA
 16. Monduli – Julius Kalanga CHADEMA
 17. Tunduma – Mwakajoka Frank CHADEMA
 18. Tandahimba- Ahmed Katani CUF
 19. Tanga Mjini – Musa Bakari Mbarouk CUF
 20. Singida Mashariki – Tundu Lissu CHADEMA
 21. Mchinga- Hashim Hassan Bobali CUF
 22. Bukoba Mjini – Lwakatare Wilfred Mugyanyizi CHADEMA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom