Orodha ya Majimbo ambayo CCM wameyapoteza mpaka sasa

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
1.Monduli
2.Simanjiro(Ole-Sendeka)
3.Same Mashariki(Mama Kilango)
4.Siha
5.Bunda Mjini(kwa Wasira)
6.Arumeru Magharibi
7.Buyungu(Waziri Chiza kapoteza)
8.Tanga Mjini
9.Babati Mjini
10.Babati vijijini
11.Tandahimba
12.Muleba kusini(Bado liko chini ya CCM)
13.Moshi vijijini
14.Tunduma
15.Mtwara mjini
16.Bukoba Mjini
17.Tarime vijijini(John Heche kashinda)
18.Tarime mjini
19.Mwanga(limebaki CCM)
20.Serengeti
21.Sengerema
22.Kaliua
23.Ndanda
25.Kigoma mjini
26.Rorya
27.Ukonga
28.Kilombero
29.Longido
30.Mbozi(Zambi kashindwa)
31.Mrimba
32.Mikumi



Orodha inaendelea,ongeza na mengine niliyoyasahau.
 
1.Monduli
2.Simanjiro
3.Same Magharibi(Mama Kilango)
4.Siha
5.Bunda(kwa Wasira)
6.Arumeru Magharibi
7.Jimbo la Christopher Chiza(Kigoma)
8.Tanga Mjini
9.Babati Mjini
10.Babati vijijini

Orodha inaendelea,ongeza na mengine niliyoyasahau.

Umesahau Moshi Vijijini. Kwa Anne Kilango ni Same Mashariki sio Same Magharibi
 
Ccm wanajisifia wamekomboa majimbo 11 huku na wao wamepoteza ya kutosha kweli wanaenda hatua moja mbele Kisha wanarudi nyuma hatua 10 na kuanza kujipongeza.
 
1.Monduli
2.Simanjiro
3.Same Mashariki(Mama Kilango)
4.Siha
5.Bunda(kwa Wasira)
6.Arumeru Magharibi
7.Jimbo la Christopher Chiza(huko mkoa wa Kigoma)
8.Tanga Mjini
9.Babati Mjini
10.Babati vijijini
11.Tandahimba
12.Muleba kusini(sina uhakika sana)
13.Moshi vijijini

Orodha inaendelea,ongeza na mengine niliyoyasahau.

Mtwara Mjini!
 
Badala ya kuangalia majimbo ya Chadema, NCCR Mageuzi yaliyopotea unaangalia ya CCM.
 
Mengine ni
1, Musoma Mjini
2.ILEMELA
3. Nyamagana.
4. UKEREWE
5. KIGOMA KASKAZINI
6.KASULU MJINI
7.KASULU VIJIJINI
8. KIGOMA KUSINI
9.LINDI MJINI
10.MPANDA MJINI
YOTE HAYA YALIKUWA YA CCM
 
Usisahau jimbo la Arusha upinzani bado wataendelea kuwa nalo......haliendi mahali......
ongeza hapo kwenye orodha......hata kama hatujapiga kura......ni kitu kipo wazi.....si cha kuficha....... Salary Slip..........
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom