Orodha ya Majimbo ambayo CCM wameyapoteza mpaka sasa

Updates matokeo rasmi ya majimbo walioshinda UKAWA + ACT Wazalendo:


  1. Ndanda- Cecil Mwambe CHADEMA
  2. Rombo- Joseph Selasini CHADEMA
  3. Arumeru Mashariki – Joshua Nassari CHADEMA
  4. Serengeti - Chacha Marwa Ryoba – CHADEMA
  5. Bunda Mjini- Esther Bulaya – CHADEMA
  6. Moshi Mjini- Jaffary Michael –CHADEMA
  7. Same Magharibi- Najengwa Kaboyoka CHADEMA
  8. Iringa Mjini – Peter Msigwa CHADEMA
  9. Tarime Mjini - Esther Matiko CHADEMA
  10. Hai -Freeman Mbowe CHADEMA
  11. Mbeya Mjini- Joseph Mbilinyi CHADEMA
  12. Kigoma Mjini – Zitto Kabwe ACT
  13. Mtwara Mjini - Maftaha Abdallah Nachuma CUF
  14. Arumeru Mashariki – Joshua Nassari CHADEMA
  15. Siha - Dr. Godwin Mollel CHADEMA
  16. Monduli – Julius Kalanga CHADEMA
  17. Tunduma – Mwakajoka Frank CHADEMA
  18. Tandahimba- Ahmed Katani CUF
  19. Tanga Mjini – Musa Bakari Mbarouk CUF
  20. Singida Mashariki – Tundu Lissu CHADEMA
  21. Mchinga- Hashim Hassan Bobali CUF
  22. Bukoba Mjini – Lwakatare Wilfred Mugyanyizi CHADEMA
  23. Vunjo – James Mbatia NCCR-MAGEUZI
  24. Moshi Vijijini – Anthony Kalist Komu CHADEMA
 
Updates matokeo rasmi ya majimbo walioshinda UKAWA + ACT Wazalendo:


  1. Ndanda- Cecil Mwambe CHADEMA
  2. Rombo- Joseph Selasini CHADEMA
  3. Arumeru Mashariki ? Joshua Nassari CHADEMA
  4. Serengeti - Chacha Marwa Ryoba ? CHADEMA
  5. Bunda Mjini- Esther Bulaya ? CHADEMA
  6. Moshi Mjini- Jaffary Michael ?CHADEMA
  7. Same Magharibi- Najengwa Kaboyoka CHADEMA
  8. Iringa Mjini ? Peter Msigwa CHADEMA
  9. Tarime Mjini - Esther Matiko CHADEMA
  10. Hai -Freeman Mbowe CHADEMA
  11. Mbeya Mjini- Joseph Mbilinyi CHADEMA
  12. Kigoma Mjini ? Zitto Kabwe ACT
  13. Mtwara Mjini - Maftaha Abdallah Nachuma CUF
  14. Arumeru Mashariki ? Joshua Nassari CHADEMA
  15. Siha - Dr. Godwin Mollel CHADEMA
  16. Monduli ? Julius Kalanga CHADEMA
  17. Tunduma ? Mwakajoka Frank CHADEMA
  18. Tandahimba- Ahmed Katani CUF
  19. Tanga Mjini ? Musa Bakari Mbarouk CUF
  20. Singida Mashariki ? Tundu Lissu CHADEMA
  21. Mchinga- Hashim Hassan Bobali CUF
  22. Bukoba Mjini ? Lwakatare Wilfred Mugyanyizi CHADEMA
  23. Vunjo ? James Mbatia NCCR-MAGEUZI
  24. Moshi Vijijini ? Anthony Kalist Komu CHADEMA

++ Pemba na unguja.
 
Ccm wanajisifia wamekomboa majimbo 11 huku na wao wamepoteza ya kutosha kweli wanaenda hatua moja mbele Kisha wanarudi nyuma hatua 10 na kuanza kujipongeza.
Kumng'oa wenje,,,mdee na mtatiro ni ushindi mkubwa sana.
 
Acha uboya wewe, Mdee anarudi bungeni kupitia viti maalumu. Ile sauti yake hatutaimiss

Aibu sana kwa Mdee, tofauti yake na Wasira - yeye atarudi Bungeni kupitia viti maalum la sivyo angetakiwa abaki kujenga Bavicha
 

  1. Arumeru Mashariki – Joshua Nassari CHADEMA
  2. Babati Mjini – Pauline Gekul CHADEMA
  3. Bukoba Mjini – Lwakatare Wilfred Mugyanyizi CHADEMA
  4. Bunda Mjini- Esther Bulaya – CHADEMA
  5. Hai -Freeman Mbowe CHADEMA
  6. Iringa Mjini – Peter Msigwa CHADEMA
  7. Kigoma Mjini – Zitto Kabwe ACT
  8. Mbeya Mjini- Joseph Mbilinyi CHADEMA
  9. Mchinga- Hashim Hassan Bobali CUF
  10. Monduli – Julius Kalanga CHADEMA
  11. Moshi Vijijini – Anthony Calist Komu CHADEMA
  12. Moshi Mjini- Jaffary Michael –CHADEMA
  13. Mtwara Mjini - Maftaha Abdallah Nachuma CUF
  14. Ndanda- Cecil Mwambe CHADEMA
  15. Rombo- Joseph Selasini CHADEMA
  16. Same Magharibi- Livinston N Kaboyoka CHADEMA
  17. Serengeti - Chacha Marwa Ryoba – CHADEMA
  18. Siha - Dr. Godwin Mollel CHADEMA
  19. Singida Mashariki – Tundu Lissu CHADEMA
  20. Tandahimba- Ahmed Katani CUF
  21. Tanga Mjini – Musa Bakari Mbarouk CUF
  22. Tarime Mjini - Esther Matiko CHADEMA
  23. Tarime Vijijini – Heche john CHADEMA
  24. Tunduma – Mwakajoka Frank CHADEMA
  25. Vunjo – James Mbatia NCCR-MAGEUZI
 
Kwa hiyo urais hamataki tena makamanda ubunge unatosha.

Naona Safari hii Umekosa Raisi wa Dini yako so umebakia kudhihaki tu.... Subiri hadi 2025 kama utakuwepo.... Ridhiwan akiwa anagombea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom