Uchaguzi 2020 Majimbo ambayo CCM haitoboi

Pawa chilonda

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
355
413
Wakuu napenda kutuma salamu kwa wakuu

Kwa tathmini iliyofanyika mpaka sasa, yafuatayo ni majimbo baadhi ambayo CCM kifo cha mende kama uchaguzi ungefanyika leo:

1. NYAMAGANA - Hili Jimbo mbunge huwa ni ngumu kurudi awamu ya pili, mfano ni Steven Mtabakazi, Lau Masha na Ezekia Dibogo Wenje taarifa wanazo.
2. TABORA MJINI ni kama nyamagana, Mwakasaka nakupa salamu
3. HAI
4. KARATU
5 ARUSHA MJINI
6 UKEREWE
7. MAGU ( VUGUVUGU HAWAMTAKI MGOMBEA WA KAMATI KUU)
8 SINGIDA MJINI ( HATAKIWI MWL MUSSA
9 MBEYA MJINI
10 TUNDUMA
11. UBUNGO
12. KAWE
13. HANANG
14. SINGIDA KASKAZINI (NYALANDU ATAMPIGA YULE RAMADHANI IGHONDO YULE WA DR ULIMBOKA)
15. MOSHI MJINI
16. KIGOMA MJINI
17. TUNDURU
18 KILWA MAJIMBO YOTE
19. BUNDA
20. TARIME VIJIJINI
21. MUSOMA MJINI
22. ROMBO
23. LINDI MJINI
24. MASASI
25. IRINGA MJINI
26. NANYAMBA
27. TANGA MJINI
28. SIHA
 
Unayo yasema ni maono yako, lakini lazima iwekwe jitahada ya kutosha Kilimanjaro inaondoka. Tusijilazimishe kukataa ukweli, iwekezwe nguvu zaidi bila hivyo Kilimanjaro yote imeondoka upinzani.
Mkuu Jimbo la Hai na Moshi mjini Imani za watu zenyewe zinajulikana unaweza kusomba watu kwenye MALORI ila huwezi somba imani zao
 
Huwa najiuliza, hivi watu wanaotegemea Tundu kuwa rais wanaishi mitaa hiihii ya Tanzania kama mimi??
Nawashauri watoke huku jf wakapate hali halisi kuhusu ushindi John Pombe Magufuli toka kwa wanachi
Sikieni MATAGA asisombe watu ili tupate Tathmini ya kweli maana anatuchanganya nasikia anasafiri na babasi 70 MALORI 120 hivi Ni kweli mkuu au mauongo uongo V8 60
 
Halafu CCM mpya iache kutegemea SERIKALI NA TUME

KAMA MWAKA WA CCM KWANINI HAWATAKI UCHAGUZI?
SHAME KARNE YA 21 CCM MPYA INAOGOPA UCHAGUZI?

LISSU MFUPA UMEINGIA NCHA YA BISU KAZIA HAPOHAPO!

MNAITETEA CCM KWA MASLAHI YA MATUMBO YENU!
 
Sijaona tarime mjini kwa matiko
Kyela
Pemba yotee
Kawee
Mikumiii
Kiufupi majimbo 80+ na viti maalum
Jiwe ata akirudi bungeni atakuwa mnyonge saana
 
Sijaona tarime mjini kwa matiko
Kyela
Pemba yotee
Kawee

Kiufupi majimbo 80+ na viti maalum
Jiwe ata akirudi bungeni atakuwa mnyonge saana
Waache waende natokeo yao mfukoni! Hawajishtukii walibana miaka mitano halafu hamasa ni ile ile mshauri wa MEKo kilaza km DAB
 
Sikieni MATAGA asisombe watu ili tupate Tathmini ya kweli maana anatuchanganya nasikia anasafiri na babasi 70 MALORI 120 hivi Ni kweli mkuu au mauongo uongo V8 60
Wewe bado uko kwenye KUSIKIASIKIA? Na ndio maana mnafelishwa na habari za udaku hizo.

Wenzenu hawafanyii kazi habari za kusikiasikia, wanafanyia kazi habari kamili zenye uthibitisho wa kisayansi.
 
Back
Top Bottom