Orodha ya Majimbo ambayo CCM wameyapoteza mpaka sasa

1.Monduli
2.Simanjiro
3.Same Mashariki(Mama Kilango)
4.Siha
5.Bunda Mjini(kwa Wasira)
6.Arumeru Magharibi-hili Jimbo bado liko CCM
7.Buyungu(Waziri Chiza kapoteza)
8.Tanga Mjini
9.Babati Mjini
10.Babati vijijini
11.Tandahimba
12.Muleba kusini(sina uhakika sana)
13.Moshi vijijini
14.Tunduma
15.Mtwara mjini
16.Bukoba Mjini(confirmed)
17.Tarime vijijini(John Heche kashinda)
18.Tarime mjini
19.Mwanga(limebaki CCM)
20.Serengeti
21.Sengerema
22.Kaliua
23.Ndanda
25.Kigoma mjini
26.Rorya
27.Ukonga
28.Kilombero
29.Longido
30.Mbozi(Zambi kashindwa)
31.Mlimba


Orodha inaendelea,ongeza na mengine niliyoyasahau.
Mkuu hebu wake pia yale ukawa kwa umoja wake wameyapoteza
 
Badala ya kuangalia majimbo ya Chadema, NCCR Mageuzi yaliyopotea unaangalia ya CCM.
Kwani haya majimbo yaliyokua ya CCM yameenda wapi kama sio huko Chadema, NCCR Mageuzi na CUF??
 
UKAWA wamepoteza majimbo na kigezo kikubwa kikiwa ni mtaji wa ccm wa siku nyingi (ujinga).
Lakini kwa aina ya wabunge waliowaingiza ni wazi ile ile factor imeongeza idadi na sasa hivi badala ya mbunge mmoja kuwa sawa na wabunge hamsini wa ccm kwa hoja inaweza kuwa mbunge 1 (UKAWA) = wabunge 85 (ccm)
 
1.Monduli
2.Simanjiro
3.Same Mashariki(Mama Kilango)
4.Siha
5.Bunda Mjini(kwa Wasira)
6.Arumeru Magharibi-hili Jimbo bado liko CCM
7.Buyungu(Waziri Chiza kapoteza)
8.Tanga Mjini
9.Babati Mjini
10.Babati vijijini
11.Tandahimba
12.Muleba kusini(sina uhakika sana)
13.Moshi vijijini
14.Tunduma
15.Mtwara mjini
16.Bukoba Mjini(confirmed)
17.Tarime vijijini(John Heche kashinda)
18.Tarime mjini
19.Mwanga(limebaki CCM)
20.Serengeti
21.Sengerema
22.Kaliua
23.Ndanda
25.Kigoma mjini
26.Rorya
27.Ukonga
28.Kilombero
29.Longido
30.Mbozi(Zambi kashindwa)
31.Mlimba


Orodha inaendelea,ongeza na mengine niliyoyasahau.[/QUOTE

mleba kusini anna Tibaijuka ni mshini: source: ITV..
 
Muleba kusini ichomoe mkuu. Kashinda Tibaijuka. Nimeshangaa NCCR na CHADEMA wote waliweka wagombea wakati wote Ukawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom