Orodha ya diss tracks za kibongo, Sehemu ya Kwanza

Nimefuatilia mwanzo hadi hapa. Tatizo ni kwamba tunajaji wakali wa sasa bila kuangalia tupo kwenye Wake gani. Mfano dogo aliyekua saivi huwezi mwambia stori za kina dandu, au hao wakali wengine wa kitambo against kina joh, fid, etc afu akakuelewa. So tujarbu kuangalia na nyakati.
 
Mii naomba mwenye details za kutosha, kuhusu beef za:
1. Jay mo na Fa
2. Ngwair (rip ) na CLOUDS MEDIA
3. Afande na Madee

mkuu! mm najua hiyo ya AFANDE V/S MADEE.nikianza katika nyimbo ya madee cjui inaitwaje ila anaimba,'mikono juu kama unampenda madee,ishara tosha unakubari ni nabii'. kuna mstari anasema' ULIONA WAPI MFALME ANA RASTA CHAFU?' hapa alikuwa anamdis mfalme Seleman Msindi
pia naye Afande katika nyimbo yake ya KINGDOM kuna mstari amesema 'RAISI GANI HUNA OFISI,HALAFU UNADISI WAASISI,LABDA KWENU UWANJA WA FISI, hapa alimjibu Madee anaye penda kujiita raisi wa Manzese!
Nadhani ntakua nimejaribu kukujibu!
 
Namba 4. hiyo ngoma ilikuwa inaitwa Moto Umeshawaka japo sidhani kami kulikuwa na diss
 
Sikiliza hiyo track ni dirty version ndio maana watu wengi hawakuisikia

Ebhana eeeeh..daaaah mkuu kama unazo tracks nyingine kama hizi tafadhali nambie ntakupataje nazihitaji sana..Hii ndo ilikuwa hip hop halisi na mabeef ya ukweli ya maniga, sio siku hizi eti watu bifu instagram halafu kisa demu wanaanzisha mateam ya ajabu ajabu..daaaah kuna mstari mmoja kwenye huu wimbo kalapina kamchana Prof Jay kuwa ana ngoma,ndomana niliwaza sana hii nymbo ya sasa hivi ya Prof Jay 'kipi sijasikia' kuna mstari anaalamika kuwa alishapakaziwa ana ngoma nikawa sijui ni wapi amepakaziwa,kumbe ni kwenye hii track bhanaa daaaah!!! big up sana mkuu
 
Jamani,

BM kazungumza kama mwenyekiti wa chama. Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu, mawazo yangu yananituma kusema upinzani waungane, sio lazima wawe chama kimoja ila wasimamishe mgombea mmoja kila eneo, waache kushindana wao kwa wao.

Ujinga wao ndio ulinifanya niendelee kubakia CCM. Mimi ni CCM damu, na naamini CCM itabadilika in next 09 years!

Sam, mawazo yako msumari! safi sana hiyo!

Kidumu chama cha Mapinduzi!

Na kitadumu MILELE![/QU duuh
 
Sugu alimwambia Roma sio wa kubishana na yeye kama anataka beef basi apambane na Sasha(binti wa sugu) ndio saizi yake...na ukiangalia ni ukweli Roma ni katoto kachanga kwa Sugu,analazimisha kujiweka level isiyo yake..

Alichokifanyia rejea Roma (beef ya Sugu na Ruge) kilitokea katika wakati yeye (Roma) akiwa tayari kwenye tasnia. Hivi, Sugu alishawahi kutolea ufafanuzi wa suluhu yake Ruge na matokeo/utekelezwaji wa suluju hiyo?
 
Dah heshima sana Mtu mzima, kwa kuweka kumbukumbu za Game yetu! Nimependa sababu una data sana unaifuatilia game.
Thanks a lot Mkuu...

Ila wakati mwingine hizi diss za kuchukua mstari mmoja tu kwenye track inakuwa sio nzuri sana labda huo mstari uwe dhahiri kabisa kwa kutaja jina la Emcee mwingine au kuhusianisha kitu moja kwa moja. Ila still diss ni diss tu.

Diss tamu ni zile za mtu anakutungia nyimbo kabisa kama "Kiraka Uso wa Mbuzi aka Rado" alivyomshukia Fid kwenye "usiulize".....
Pia kuna zile diss za kutoa mixtape maalum, nadhani hii kwa bongo iliasisiwa na Kikosi Cha Mizinga (Ya Hashimu Dogo sio hii ya Pina)
Mixtape yao ya kwanza nadhani ilikuwa mwaka 2003 kama sijakosea tena waliifanyia Arusha "Watengwa Records" ule Mzigo ulikuwa aibu asikwambie mtu, ile ilikuwa ni diss ya Industry nzima ya music ya Bongo.

Humo unampata Miraji Kikwete alimtukana sana Ruge na Clouds kuliko hata Vinega Magenge!

Diss zinatia radha sana ya game ila kwakuwa game yetu imelala basi hatufaudu, raha ya diss ni pale watu mnapeana diss kwenye records then mnakutanishwa kwenye freestyle hapo ndio inaamua nani mkali.

Hata diss za Nas na Jigga ziliishia kwenye freestyle battle ambapo Jigga alikaa....

Ukumbi wako kamanda tupe radha, nitakuwa msikilizaji hapa!

Natafuta nyimbo za Kikosi (re Hashim Dogo), zinapatikana wapi/vipi wadau?
 
Miraji alikuwepo Kikosini, ila sio kikosi hichi cha Pina, kile Kikosi cha Hashimu "Dogo".... Kikosi kilichokuwa kimejaa falsafa na Itikadi....

Baadae wana wengi tu waliondoka Kikosini, wakina Chisondi, Major, Miraji, Hashimu, PW, na wana wengine tu.....

Yah Pina alimtukana sana Miraji kipindi kile kwenye ile ngoma yake na washkaji wake wa kikosi.

Ni mambo ya kupishana tu kama unavyojua ma emcee..... Ila Miraji alikuwa mwanafunzi mzuri sana wa Hashimu Dogo na kuna ngoma moja Miraji amechana kiustaarabu hadi masksni tukawa tunabishana kuwa sio Miraji..... ooh those day jamani!!
Unaweza kui upload hiyo ngoma ya Miraji Kikwete
 
Back
Top Bottom