Miraji alikuwepo Kikosini, ila sio kikosi hichi cha Pina, kile Kikosi cha Hashimu "Dogo".... Kikosi kilichokuwa kimejaa falsafa na Itikadi....
Baadae wana wengi tu waliondoka Kikosini, wakina Chisondi, Major, Miraji, Hashimu, PW, na wana wengine tu.....
Yah Pina alimtukana sana Miraji kipindi kile kwenye ile ngoma yake na washkaji wake wa kikosi.
Ni mambo ya kupishana tu kama unavyojua ma emcee..... Ila Miraji alikuwa mwanafunzi mzuri sana wa Hashimu Dogo na kuna ngoma moja Miraji amechana kiustaarabu hadi masksni tukawa tunabishana kuwa sio Miraji..... ooh those day jamani!!