Orodha ya Benki za Kitanzania nchini Kenya

Orodha ya Benki za Kitanzania nchini Kenya

Wakuu nataka kufahamu orodha ya Benki za Kitanzania ambazo zipo Kenya!!
Tunajua kuba bank za kenya zpo hapa nchini kama KCB, Equity Bank etc
Nawasilisha
In Tanzania we have more than 500+ Kenyan company operating here hata maguful siku ile alisema kuna kampuni zaidi ya 500 lakin kiuhalisia xinafika hata 1000....angalia mashirika ya insurance ni managing Mengi ie jubilee insurance phoenix wote hao wakenya mabank sio kcb na tuu mbona mengi
 
Nakumatt na Uchumi ni wakenya mkuu na wameanza hiyo biashara ya supermarkets Kenya since 1995 hapa kwetu wameingia juzi lakini wapo muda mrefu saaaana
Sio waisiraeli ambao walianza biashara huko Kenya?
 
Bado watanzania benki zetu hazijawekeza Kenya ingawa wakenya wame~invest huku kwetu sana. Na sio KCB na Equity tu ndio wako huku akina Nakumatt na Uchumi supermarket ni wakenya pia so nadhani ni wakati mwafaka watanzania kujitanua, kufungua matawi na kuwekeza kwa jirani zetu pia.
NIA TUNAYO..., SABABU TUNAYO....., UWEZO TUNAO
Mkuu UCHUMI walishasanda game mbn [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
sio kila kampuni iliyowekeza hapa TZ ni ya wakenya kisa tu hiyo kampuni Kenya ipo pia wawekezaji wametoka huko abroad ila wameanzia Kenya na nchi nyingine ndio wamekuja huku kwetu
kukariri si vizuri
 
Mkuu sijui

Tanzania's Bank M blazes trail in Kenya with Oriental Bank buy

A Tanzanian bank will become the first to enter the Kenyan market after Kenya's central bank approved the purchase by M Holdings, which operates as Bank M, of a 51 percent stake in Oriental Commercial Bank.
Kenya is trying to consolidate its lenders after three bank failures over a period of nine months exposed weaknesses in a sector that had been growing robustly for years.
"Bank M is the first bank from Tanzania to enter the Kenyan banking sector. Its entry into the Kenyan market strengthens the ongoing East African Community (EAC) integration," the Kenyan central bank said in a statement on Thursday.
While some Kenyan lenders have spread their wings around the region over the years, their counterparts from the six-nation EAC have not started operations in Kenya.
The central bank, which did not disclose the value of the deal, said the new entity will be named M Oriental Commercial Bank Limited and the acquisition will be completed in September.
Kenya has a large banking sector, with Oriental ranked 37 out of 42 banks by market share, with nine branches.
The consolidation of Kenyan banks began after Dubai Kenya, a small bank, was put into receivership by the central bank in August after it failed to meet its obligations.
This was followed by the closure of mid-sized Imperial Bank in October due to fraud and in April another mid-sized lender Chase Bank was closed temporarily after its auditors gave a qualified opinion on its earnings, sparking a run on deposits.
As at the end of March, Bank M had 889.11 billion shillings ($406 million) in assets. It is owned by several shareholders, with the largest listed as Sanjeev Kumar on its website. ($1 = 2,188.0000 Tanzanian shillings) (Reporting by Duncan Miriri; Editing by George Obulutsa and Alexander Smith)
Hii taarifa ilitoka June 2016
 
shirika la kijasusi la kimataifa lilikua linataka kujua ni kiwango gani uhalifu upo katika nchi za Afrika Mashariki. Wakaja na wazo la kuweka kifaa maalumu sehemu zenye watu wengi ili kuona uhalifu unavyofanyika, na matokeo yake yakawa kama haya.....!!!

1. Kifaa kilifungwa Kenya (Nairobi)
Kilipofungwa Kenya, kiligundua kua wakenya wengi wanafanya makosa ya kuvamia na kupora watalii, wizi wa magari kwa kutumia silaha, ugaidi na makosa ya ubaguzi kwa misingi ya kikabila na rate ya uhalifu ni asilimia 55%

2. Kifaa kikafungwa Uganda (Kampala)
Huko kikagundua kwamba kuna makosa mengi ya mauaji hasa ya kisasi, pia makosa ya ubakaji nayo pia yamo ingawa rate ya uhalifu ni ndogo kwa asilimia 45%

3. Kikafungwa Tanzania (bongodaslam)
hapa kimbembe ndio kikaanza, yani kifaa chenyewe kimefungwa tu..hakikichukua hata dakika kikawa kimeibwa na chenyewe hahaaa haaa hii ndo bongo bwana, kwa taarifa za chini ni kwamba wale jamaa hawatak kusikia kitu toka bongo land!!

hayo ndo mambo tunayoongoza duniani, kama unabisha kamuulize [HASHTAG]#Dude[/HASHTAG] wa Bongodarisalaam
 
Kuna Kipindi yale maziwa ya Mtindi ya Mara yalikua yanapendwa sana Kenya baadaye yalianza kufanyiwa fitna yaliwahi kuozea mpakani mamia ya tani. Kwa ufupi ukifanikiwa kuingiza bidhaa yako nchini Kenya wewe ni kichwa sana, wakati huo huo sisi mibongo tunapoenda sokoni hua hatuna mda hata wa kuangalia bidhaa za kibongo tuzipe suport kwa kuzinunua, majuzi nilikua sehemu nanunua maziwa Fresh ya Azam nikaona kuna mtu ananunua mimaziwa flani ya Kenya anadai ameanza kutumia hayo maziwa miaka mingi hataki kubadirisha, huku akiponda Serikali yetu kwa kutokuza uchumi kwa speed kubwa, akisahau kabisa kwamba ujenzi wa uchumi huanzia kwa mtu mmoja mmoja, kwenda kaya moja moja mpaka nchi kama nchi
 
Back
Top Bottom