tanzanite miner
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 257
- 172
Umeenda mbali sana..kama ni hesabu umeanzia kwenye tisa..
Ulitakiwa kuuliza mwenye hata kumiliki kiwanja au japo shamba eka moja ndipo uende kwenye mambo makubwa kama mabenki na viwanda vidogo kama vya toothpick pipi au lawalawa.