kilalile
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 1,594
- 2,207
Ili kuua vijidudu vilivyopo kwenye nguo, lazima nguo ichomwe na moto wa pasi hatimae vijidudu kufa na nguo kupata muonekano maridadi. Tupo katika kunyooshwa, vijidudu vinazidi kufa, soon tutapa muonekano maridadi. Wasiwasi wangu mnyooshaji akiongeza moto wa pasi au akinyoosha sehemu moja kwa muda mrefu anaweza akachoma nguo yenyewe.