Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,264
- 4,747
atumie akili kidogo tu , ajufunze kwa wanawake. Atupe limbwata Wananchi wote tuwe mazuzu. Haya mambo ya kutekana hayana tija kwa Taifa.
Kama hahusiki je?
atumie akili kidogo tu , ajufunze kwa wanawake. Atupe limbwata Wananchi wote tuwe mazuzu. Haya mambo ya kutekana hayana tija kwa Taifa.
Umeamkaje leo Buji? Heri ya Ulimboka instincts za udaktari zilimfanya akasurvive. Roma wetu, huyo unayemsema na Ben sijui we acha tu. Ndo shule cha marwa alienda kusoma Rwanda nini?atumie akili kidogo tu , ajufunze kwa wanawake. Atupe limbwata Wananchi wote tuwe mazuzu. Haya mambo ya kutekana hayana tija kwa Taifa.
I beat job night nailUmeamkaje leo Buji? Heri ya Ulimboka instincts za udaktari zilimfanya akasurvive. Roma wetu, huyo unayemsema na Ben sijui we acha tu. Ndo shule cha marwa alienda kusoma Rwanda nini?
Hasa masoud kipanya yule ndo huwa anahit to the point japo kwa fasihii ya hali ya juu sanaMASOUD KIPANYA na zile katuni zake,YERICKO NYERERE,EDO KUMWEMBE,MALISA GODLISTEN,WEMA SEPETU n.k n.k n.k wajiangalie maana haya mambo wakubwa hawapendi bas tu hawana jinsi
Wapi huko Kimisi au ndo mnachukua ng'ombe wa wenzenu? Joke.I beat job night nail
nimepiga kazi usiku kucha
Hata na wao wanachukua zetu. Njunji unjunjwe.Wapi huko Kimisi au ndo mnachukua ng'ombe wa wenzenu? Joke.
Hata na wao wanachukua zetu. Njunji unjunjwe.Wapi huko Kimisi au ndo mnachukua ng'ombe wa wenzenu? Joke.
Naona itangazwe watu wajitahidi kuwa angalulau wawili au watatu muda mwingi na pia akija mtu kukuhitaji uende polisi basi kuwepo na ushahidi wa majirani au mjumbe, hakuna kuaminiana tena nchi hii, ianzishwe kampeini ya watu kuishi kwa tahadhari sana, ndipo tulipofikiaMASOUD KIPANYA na zile katuni zake,YERICKO NYERERE,EDO KUMWEMBE,MALISA GODLISTEN,WEMA SEPETU n.k n.k n.k wajiangalie maana haya mambo wakubwa hawapendi bas tu hawana jinsi
Nã Malisa GJ
Kijana Erick Raphael Msyaliha, anayeishi Sinza (Mugabe) usiku wa tar.13/03/2017 alifuatwa nyumbani kwake na watu wanaodhaniwa kuwa Polisi ambao walimchukua wakihitaji maelezo kutoka kwake. Majirani wanasema tangu Erick achukuliwe na watu hao hadi sasa hajarejea.
Ndugu zake hawajui alipo licha ya juhudi mbalimbali za kumtafuta. Simu zake hazipatikani na hajaonekana popote wiki ya 3 sasa.
Jeshi la Polisi limekanusha kumshililia kijana huyo, kama lilivyokanusha kumshikilia Ben, na kama linavyokanusha kumshililia Roma. Familia ya Erick inaomba yeyote atakayepata taarifa za kuwepo kwake akiwa hai au maiti awasiliane na familia kwa namba 0718 105959.
Hapa ndipo nchi yetu ilipofikia. Binadamu wanapotea na serikali haioneshi kujali, ila Faru anapotea serikali inatumia Mil.700 kumtafuta. Matukio tuliyokua tukiyaona Rwanda, Congo, Sudan na Somalia sasa yanatokea kwetu. Si hadithi ni kweli. Ila Mungu yupo.!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]atumie akili kidogo tu , ajufunze kwa wanawake. Atupe limbwata Wananchi wote tuwe mazuzu. Haya mambo ya kutekana hayana tija kwa Taifa.