Orijino Komedi yafulia

Orijino Komedi yafulia

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
5,374
Reaction score
3,972
Hili kundi naona limepoteza muelekeo sikuiz,matangazo nayo yamekua part ya program, hata kipengele rahisi cha songi la leo kila siku kurudia tu.

Ushauri wangu kwao ni kua wasione aibu kutangaza kua wanaacha komedi na kuendeleza miradi yao maana tumeona wamepewa matrekta juzijuzi tu.
 
hayo ni makosa madogo madogo tu ila hawa jamaa ni noma sana huwa wananifurahisha sana
 
Mimi sikumbuki mala ya mwisho kuwaona ilikuwa mwaka gani
 
Kipindi chao kinarushwa hewani SAA ngapi?
 
Kwani bado wanaonyeshwa? Mimi naona kama zama zao zimeshapita tayari.. siku hizi wanaonyeshwa channel gani? Na saa ngapi
 
Wanaonyweshwa tbc1 saa 3 usiku j2..wanaboa kusema kweli...kweli kila zama na nabii wake.
 
Hawana jipya ckuiz komed gan badala ya kukuchekesha inakutia stressssssssssssss comed ilkua kipind kle wapo Eatv ckuiz cjui wamekula maharagwe ya wapi waleeee nilikua nawapenda waleeee ckuiz kichef chef waleeeeee
 
Hata nzi akitulia anaweza kuanza kuzalisha asali, hahah - by mpoki
 
Zaidi ya Mze Majuto, Mze Small, Onyango, waliobakia wote ni wababaishaji tu. Ze comedy ni wapuuzi na hawachekeshi zaidi ya kuliza watu.
 
Back
Top Bottom