ACHA_TAMaA
Member
- May 25, 2015
- 17
- 0
Hawana jipya
Ngoja j2 ijayo nitahakikisha,maana ni muda sijawafuatilia.
Hili kundi naona limepoteza muelekeo sikuiz,matangazo nayo yamekua part ya program, hata kipengele rahisi cha songi la leo kila siku kurudia tu.
Ushauri wangu kwao ni kua wasione aibu kutangaza kua wanaacha komedi na kuendeleza miradi yao maana tumeona wamepewa matrekta juzijuzi tu.
hayo ni makosa madogo madogo tu ila hawa jamaa ni noma sana huwa wananifurahisha sana
We sema wamefulia wakati juzi tu wamenunua matreka 7. Wenzanko wanapata pesa wewe wapiga kelele hata ya mkate huna
hayo matangazo ni lazima cz ndio wanapopatia hela yao, they get a percentage kisha wanawakatia tbc chao life linaendelea, so matangazo ni lazima, hela ile
Matangazo ambayo ni part ya kipindi?yani hawaendi break kuleta matangazo wanatoa matangazo on air ni sawa?
Wakati ukuta kila jambo lina ukomo wakeHili kundi naona limepoteza muelekeo sikuiz,matangazo nayo yamekua part ya program, hata kipengele rahisi cha songi la leo kila siku kurudia tu.
Ushauri wangu kwao ni kua wasione aibu kutangaza kua wanaacha komedi na kuendeleza miradi yao maana tumeona wamepewa matrekta juzijuzi tu.