...original komedi ya tbc1............ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

...original komedi ya tbc1............

Discussion in 'Celebrities Forum' started by only83, Apr 9, 2011.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  ...Nilikuwa mfatiliaji mzuri wa hawa vijana wa Original Komedi wakiwa EATV.Kwa kweli nilikuwa sikosi kila kipindi hiki kilipokuwa kikirushwa,baada ya kuamia TBC1 vijana hawa wamekosa mvuto...maneno yao mengi ni matusi na issue za mapenzi zaidi...nazidi kuwapotezea kwa kiwango kikubwa.....
   
 2. MANAMBA

  MANAMBA Senior Member

  #2
  Apr 9, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naona huwatakii mema mkuu, kama ni kweli wanalipwa na Manji unategemea nini?
   
 3. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  we huoni kumtetea manji kumponda mengi ndo wamekalia na sasa wasipokua makini watafunikwa kabisa maana sasa kuna ushindani mkubwa toka chanel 10, star tv shauri yao tutawasahau
   
 4. saidomr

  saidomr Member

  #4
  Apr 9, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Awana jipya.!
   
 5. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  shukraan ya punda......
   
 6. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  vijana bado wapo juu-kuwa na mtazamo tofauti si wote tupo hivyo-me bado nipo nao tbc1
   
 7. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Matusi na kukashifu kumezidi, nashindwa kukitazama nikiwa na watu wa rika shauri ya staha.
   
 8. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2011
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 1,827
  Trophy Points: 280
  mie ndo nimesahau kwa mara ya mwisho nimewaangalia lini. nakumbuka siku moja nilipanda nao ndege kutoka Kigoma kuja Dar walikua wanafanya mambo ya ajabu kama watoto wadogo. Washaishiwa maana sasa imekua si Comed tena ila ni sehem ya matusi na majungu
   
 9. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,127
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Wamepitiwa na ule usemi wa Kiswahili usemao "Ukimsifu Mgema Tembo atalitia Maji"
   
 10. B

  Bendera ya bati Senior Member

  #10
  Apr 10, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukiona mtu anakipa shavu chama cha mafisadi ujue tayari naye amekwishafisidika.Mliwashuhudia kwenye rally kipindi cha kampeni wamevaa masketi yao wakimkampenia Kikwete na CCM yake.Unategemea atoka mtu wa maana tena hapo wakati mawzo yashaingiwa na virus za ccm?kwisha habari yao hao!
   
 11. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #11
  Apr 10, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  kweli. Lakini walivyoiblast EWURA juu ya marufuku ya vidumu kwa petrol station ilikuwa EXCELLENT.
   
 12. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #12
  Apr 10, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  They just useless i can't loz ma time 2 show them.They h've nothin new to make me lough more dan majungu,usembo sembo an somethin including utondo.bora nikae na katotoo cha miaka mitatu naweza kucheka hapo eeeh.
   
 13. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #13
  Apr 10, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  They just useless i can't loz ma time 2 show them.They h've nothin new to make me lough more dan majungu,usembo sembo an somethin including utondo.bora nikae na katotoo cha miaka mitatu naweza kucheka hapo eeeh.
   
 14. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #14
  Apr 10, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We kweli MKIBOSHO kamili
   
 15. C

  Clego Member

  #15
  Apr 10, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi bado wapo?
   
 16. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #16
  Apr 10, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  mi nshaachana nao zamani sana, cjui nn wanafanya these days ila walipoteza mwelekeo zamani sana
   
 17. J Rated

  J Rated JF-Expert Member

  #17
  Apr 10, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Wakibosho tuna nini mkuu?
   
Loading...