kisugujira
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 774
- 200
Umeeleza vizuri kuwa "...Wameigiza...." uzuri wa maigizo hubaki kuwa igizo, wakumbushe wiki ijayo waigize namna wananchi wanapo nunua umeme wa elfu10 nyuso zao zinaonekanaje halafu igizo hilo lisome uhalisia.
Nani kakudanganya chama cha siasa kinauawa na kundi la vichekesho
Wameigiza ugomvi wa Zitto na Mbowe!
" msiporekebisha magomvi yenu mtasoma namba za tawala mpaka mna rest in peace!" Masanja Mkandamizaji
Watawala wetu hawana dira kwani wamekosa maarifa! Walishasema "Liwalo na liwe" na kweli tunaona mambo yanavyokwenda shaghalabaghala! Wanaiba bila haya! Sasa hivi umeme wa shilingi 20,000/- unapata units 35.50kwh wakati zamani kabla ya kupandishwa na wezi hawa ilikuwa unapata units mara mbili ya sasa!
Wameigiza ugomvi wa Zitto na Mbowe!
" msiporekebisha magomvi yenu mtasoma namba za tawala mpaka mna rest in peace!" Masanja Mkandamizaji
Wameigiza ugomvi wa Zitto na Mbowe!
" msiporekebisha magomvi yenu mtasoma namba za tawala mpaka mna rest in peace!" Masanja Mkandamizaji
Acha kutokwa povu ww mie nmenunua umeme wa 30,000/- nmepata units 80 which z ver reasonable,.zipp yo fakn domo
Wameigiza ugomvi wa Zitto na Mbowe!
" msiporekebisha magomvi yenu mtasoma namba za tawala mpaka mna rest in peace!" Masanja Mkandamizaji
Mbona huongelei ufisadi unaofanywa na wananchi kuharibu miundo mbinu ya tanesco??? hivi hufikirii kuwa gharama za kuweka miundombinu mingine ni hasara pia? ifidiwe na nani?Watawala wetu hawana dira kwani wamekosa maarifa! Walishasema "Liwalo na liwe" na kweli tunaona mambo yanavyokwenda shaghalabaghala! Wanaiba bila haya! Sasa hivi umeme wa shilingi 20,000/- unapata units 35.50kwh wakati zamani kabla ya kupandishwa na wezi hawa ilikuwa unapata units mara mbili ya sasa!
U
Umenikumbushia wakati ule tupo pale Kolila yule jaama Whilte anayeitwa Mashingia tulipokutana na Heamaster then akakunja uso na kuanza kutembea kama mabaga freshi.... tulicheka mbaya....headmaster huyo akatupita tukaponea....hahahaha........ sasa hii ya umeme itakuwa kali ukiunganisha na zile hitilafu za shot pale dar....