original comedy kuchangisha mchango wa kanisa

Mbogo Junior

JF-Expert Member
Jan 21, 2012
248
65
Original comedy wapo Kagera kukusanya mchango wa ujenzi wa kanisa. Watu hawakujulishwa hili na hakuna uhusiano hapa. Jambo hili mnalichukuliaje wana jamii.
 
Hakuna tatizo la wao kushiriki katika harambee za kuchangisha hela za kanisa, kwani wao pia ni waumini wa dini, sula la kwamba ni Comedians lisikukwaze ukaona hawafai kushirikishwa, uwepo wao kwa namna moja ama nyingine utaongeza hamasa.
 
Jamani kwani na wao si ni watu wa kawaida tu ambao wanaabudu kama wengine, kwanini iwe ajabu wao kuchangisha harambee kanisani? Ila jamani, kuna anayejua Vengu anaendeleaje? I really need to know
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom