Nami nakushauri uchungulie vyuoni. Mfano IFM naona watu wa library wanaenjoy maisha. Mbali na mshahara wa kazi,wanasimamia mitihani na kupata allowance,wanafanya tender kama kutengeneza ID,kuprint form n.k. Pia wanasomeshwa further studies. Jaribu huko mkuu,vyuoni ni kuzuri.