Ordinary Diploma ya Bugando

Ordinary Diploma ya Bugando

Mkurya mweupe

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2023
Posts
250
Reaction score
830
Ndugu wana JF,

Niliomba kuuliza Ordinary Diploma zinazotolewa Bugando za afya, zinakuwa chini ya NACTE, yaani namaanisha, wanakuwa na mtihani wa mwisho unaotoka Nacte kama vyuo vingine vya kati, mfano city college, Chato college.

Au chuo chenyewe ndo huwa kinatoa kipimo cha ufaulu kwa wanafunzi wake ngazi ya diploma labda kahitimu na GPA kiasi au huyu kapata sup.Asanteni
 
Haijaeleweka msaada unaohitaji n upi
Namaanisha huwa final exam zao zipo under nacte au chuo chenyewe ndo kinajiendesha kupitia mitihani ya ndani ,yaan ordinary diploma yao wanaicontrol wenyewe kama ngazi ya degree
 
Diploma za vyuo vyote vya afya hapa Tanzania ziko chini ya NACTE, na mitihani huandaliwa na kusimamiwa na NACTE.
 
Namaanisha huwa final exam zao zipo under nacte au chuo chenyewe ndo kinajiendesha kupitia mitihani ya ndani ,yaan ordinary diploma yao wanaicontrol wenyewe kama ngazi ya degree
Sheria hairuhusu Chuo husika kujisimamia chenyewe kwenye mitihani ya Diploma (hususani kwa Afya na Elimu) unless hiyo diploma haitambulikani na NACTE.
 
Maana Bugando yenyewe haipo nacte ,maana hata application zake ni direct chuoni ,kwenye nacte haimo ,ndo maana nilitaka kujua hilo kama kinajicontrol au nacte ndo wanafanya assessment ya mwisho ya wahitimu
 
Ndugu wana JF,

Niliomba kuuliza Ordinary Diploma zinazotolewa Bugando za afya, zinakuwa chini ya NACTE, yaani namaanisha, wanakuwa na mtihani wa mwisho unaotoka Nacte kama vyuo vingine vya kati, mfano city college, Chato college.

Au chuo chenyewe ndo huwa kinatoa kipimo cha ufaulu kwa wanafunzi wake ngazi ya diploma labda kahitimu na GPA kiasi au huyu kapata sup.Asanteni
Hazipo chini ya NACTE
 
Maana Bugando yenyewe haipo nacte ,maana hata application zake ni direct chuoni ,kwenye nacte haimo ,ndo maana nilitaka kujua hilo kama kinajicontrol au nacte ndo wanafanya assessment ya mwisho ya wahitimu
bugando ipo chini ya TCU lakini kama inatoa kozi ambazo lazima zisajiliwe nactvet izo kozi zitakua chini ya nactvet
 
Hazipo chini ya NACTE
kwanza sio nacte unaonekana hujui chochote ni NACTVET ukimaliza diploma yoyote ilo matokeo yako yote lazima yapelekwe nactvet ukiingia sehemu ya result verification ukiingiza namba ya form four unatakiwa uyaone
 
hakuna kitu kinaitwa NACTE siku izi Ni NACTVET chombo kinachosimamia vyuo vyote ambavyo sio vyuo vikuu kama cbe,ifm,Tia, pamoja na veta
We jamaa umejilisha matango kwa kusoma na kutokuekewa .
Unachokisema ni kweli ila si sahih kwa % kadhaa.

Nacte wamejipambanua zaidi wanajiita Nactvet baada ya Kuchukua Control ya vyuo vya kati na Veta.
Baadhi ya Vyuo vikuu vinatumia mifumo ya TCU kuendesha diploma mpaka leo japo ni vichache na ni Mgogoro baina ya Vyuo hivyo ja Nactvet yaani vyuo hivyo vimegoma kuacept mifumo ya Nactvet mfano Afya Cuhas na Muhas.
Usiconfuse Mwanza College na Cuhas. Na Usichanganye Muhimbili College na Muhas

The Rest uko sahih.

Mwenye Uzi wako jibu lako ni Kwamba Diploma za Bugando(Cuhas) ziko TCU mpaka kesho, hawana mitihani ya Nactvet na wanatahiniwa as Degree holders.
 
Asante
 
Back
Top Bottom