Order ya simu

Umekatazwa kwenda ulewa wako tu nisawa sawa na wadudu wa choon hvyo sitokushangaa na walaa unipishidaah mm nakuahd kama upo kwa kunirudisha nyuma am not your level tometofautiana sana mm na wewe ata kwenye uelewa
"Am not your level" hii lugha haipatikani korea unakodai huenda sasa tuandikie kikorea tuone.
 
Sikukatishi tamaa bali nakwambia hivii tamaa yako ni ya mzee fisi.
Mkono wa binadamu hauanguki.

Tafuta cha kufanya.
Unaropoka ujui hata unachokiandika sikushangai maana kukutana na mwenda wazimu kama wewe wapo niliokutana nao nasasa hv wanaona aibu machon pao wewe umebugi sitorud nyuma nazongambele wewe andika unavyotaka maana akili zako za kuwasha kwa kutumia kibiriti sishangai kibiriti kimekuishia hvyo sasa hv unaweuka tu kaka na mteja sio wewe wewe ni mkatisha tamaa na jinamiz kabsa
 
Wana jamvi huyu niachieni nitamtoa berenge haiwezekani kina kelvin Isaya watuletee mbwembwe humu.
 
Huwezi kutafsiri ninachokijua asilani.
Hii inadhihirisha uongo wako jamvini.
Wanajamvi endeleeni kusoma mpambano.
 
"Am not your level" hii lugha haipatikani korea unakodai huenda sasa tuandikie kikorea tuone.
Siunaona ulivyo hauko fiti kiakili unazidi kuwafanya wenzio wakuone una akili timamu ata koment zako zenyewe azina mashiko kaka jipange uje tena sawa
 
Wana jamvi huyu niachieni nitamtoa berenge haiwezekani kina kelvin Isaya watuletee mbwembwe humu.
Ujion unakuwa chizi kaka angalia upayukaj wako ataukuaji wako niwashida sana Mungu akusaidie unadhan kuna machiz watakao kuangalia kama wewe ulivyokuwa unakaz au ndio wale walio tolewa kwenye list ya vyet feki polee
 
Siunaona ulivyo hauko fiti kiakili unazidi kuwafanya wenzio wakuone una akili timamu ata koment zako zenyewe azina mashiko kaka jipange uje tena sawa
Tofautisha "una" na "huna"
Korea unayoenda itakuwa gongo la mboto.
 
Huwezi kutafsiri ninachokijua asilani.
Hii inadhihirisha uongo wako jamvini.
Wanajamvi endeleeni kusoma mpambano.
Nakuambia ata akilizako aziko sawa hv mwanaume jasir akuangalie wewe mwenda wazimu unapambana ujiulizi uon aibu na wewe ndio wale wavaa sketi wanaumee wale na mawigi
 
Nakuambia ata akilizako aziko sawa hv mwanaume jasir akuangalie wewe mwenda wazimu unapambana ujiulizi uon aibu na wewe ndio wale wavaa sketi wanaumee wale na mawigi
Nakuhakikishia hutapata mtu wa kukupa oder hata mmoja.
 
Tofautisha "una" na "huna"
Korea unayoenda itakuwa gongo la mboto.
Mm paka kama wewe unipi shidaah sishangai unadoz ya milembe endelea sio ya goms korea ya manzese mweu wewe ndio ninayoenda
 
Kelvin Isaya mkubwa wewe!!!!!
 
Nakuhakikishia hutapata mtu wa kukupa oder hata mmoja.
Pole sasa wateja wamekuja inbox kwa simu ndugu hao ndio wateja sio wewe unaetumia kifurushi cha chuo na simu yako ya h5 tecno pumbavu endelea alafu ujui unanisaidia sana maana wanaona kama mweu vile nawana niasa nikuache kama ulivyo maana atajina lako lenyewe matatizo matupu hahahaha ulijui sitopata nimepata sasa kazana nilikuambia mm unikome mm nawewe tofauti ndugu
 
Mm paka kama wewe unipi shidaah sishangai unadoz ya milembe endelea sio ya goms korea ya manzese mweu wewe ndio ninayoenda
Utatukana matusi yoote, lakini nipo hapa mahsusi kuwashtua members kuwa wewe ni kelvin Isaya yuleee aliyewaliza wazani.
 
Kelvin Isaya mkubwa wewe!!!!!
Wewe simweu endelea mteja mwingne kaja in box anataka iphone 7 nimemwambia kama aniamini tukaandikishame anapo taka yeye kwa hyoo polee
 
Utajichekesha, utajipendekeza, utajiliza, utajitukanisha lakini uzi ni ule ule!!!

Hutowaibia miongoni mwa wanaosoma uzi huu.

Utatukana matusi yoote, lakini nipo hapa mahsusi kuwashtua members kuwa wewe ni kelvin Isaya yuleee aliyewaliza wazani.
Sasa wanunuz wanakuona kama vile kijin maana wamenifata inbox na sio wewe mpiga kinanda hapa tunavyopambana hv ndio ninavyo wapata maana unanifungulia njia twende kaz mpaka ukichoka sema ila asante kwa kuwa msukule wangu wateja wanakuja na utoniweza kamwee nimekuambia mm sio unao wafikiria na kuwaona wewe nikakuambia unikome mm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…