Mini GPS ulinzi wa chombo au kifaa chako

Royal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
1,646
Reaction score
3,132
🔥 MINI GPS TRACKER (GF-07) – ULINZI WA CHOMBO CHAKO! 🚗🏍️
Fuatilia gari, pikipiki au mzigo wako popote ulipo kwa kutumia simu yako! 📱✨
📍 Real-Time Tracking: Inakuonyesha eneo kifaa kilipo muda wowote.
💳 Laini ya Simu: Inatumia SIM card yoyote.
🤫 Saizi Ndogo: Rahisi kuficha mahali popote bila kugundulika.
🔋 Inajazwa Chaji: Inakuja na cable ya chaji.
💰 BEI: 55,000/=
📍 LOCATION: Arusha Town
📞 PIGA / WHATSAPP: 0712350159

1000061399.jpeg
1000061401.jpeg
1000061398.jpeg
 
Attachments

  • 1000061402.jpeg
    1000061402.jpeg
    101.3 KB · Views: 8
Hivi huto tudude ukitufunga kwenye mtumbwi kisha ukawa mbali na nchi kavu ambapo tu hata simu ya nokia haipati mawasiliano unaweza jua chombo chako kilipo
 
Hapo kwenye chaji, ukisahau kuichaji na ukapoteza chombo ndio imekula kwako?
 
🔥 MINI GPS TRACKER (GF-07) – ULINZI WA CHOMBO CHAKO! 🚗🏍️
Fuatilia gari, pikipiki au mzigo wako popote ulipo kwa kutumia simu yako! 📱✨
📍 Real-Time Tracking: Inakuonyesha eneo kifaa kilipo muda wowote.
💳 Laini ya Simu: Inatumia SIM card yoyote.
🤫 Saizi Ndogo: Rahisi kuficha mahali popote bila kugundulika.
🔋 Inajazwa Chaji: Inakuja na cable ya chaji.
💰 BEI: 55,000/=
📍 LOCATION: Arusha Town
📞 PIGA / WHATSAPP: 0712350159

View attachment 3681947View attachment 3681949View attachment 3681950
Mimi nilinunua nimekiweka ndani ya begi la nyumba ndogo yangu.
 
🔥 MINI GPS TRACKER (GF-07) – ULINZI WA CHOMBO CHAKO! 🚗🏍️
Fuatilia gari, pikipiki au mzigo wako popote ulipo kwa kutumia simu yako! 📱✨
📍 Real-Time Tracking: Inakuonyesha eneo kifaa kilipo muda wowote.
💳 Laini ya Simu: Inatumia SIM card yoyote.
🤫 Saizi Ndogo: Rahisi kuficha mahali popote bila kugundulika.
🔋 Inajazwa Chaji: Inakuja na cable ya chaji.
💰 BEI: 55,000/=
📍 LOCATION: Arusha Town
📞 PIGA / WHATSAPP: 0712350159

View attachment 3681947View attachment 3681949View attachment 3681950
Mimi nilinunua nimekiweka ndani ya begi la nyumba ndogo yangu.
 
Hivi huto tudude ukitufunga kwenye mtumbwi kisha ukawa mbali na nchi kavu ambapo tu hata simu ya nokia haipati mawasiliano unaweza jua chombo chako kilipo

Hii inatumia mnara wa simu na sio Satellite
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom