Nikweli kaka na mm sio humu tu nipo olx na nimetok mtumia mteja projector yake na anitumia mpaka sasa biashara inachangamoto kaka tena sana inabidi usiwee unakta tamaa kiraisi raisi kaka angu ila kwa sababu nikitu nilichokiamua kufanya biashara natumain ntafika mdogo mdogo tu wachache watako kuamin kutokana n kila mtu alivyopitia kwenye utafutaj wake wa maisha na kwa jinsi nauelewa wake ulivyoMrs S, shughulikia wasiwasi wa Chuck j ambao najua wengi wanao. Kumbuka tapeli huwa hana rangi, wala kitambulisho chochote. Watu hawataki kuanza kusikia simu ya mteja huyu haipatikani. Hebu jipange upya, biashara ipo.
Leseni itakusaidia nn jogi my friend kam atuja aminiana jaman naweza nikkuwekea kivuli cha lesen na bado nika kutapeli tu kama nikitu kipo kwenye damu yangu ila binafs hii ndio kaz yangu na ndio inayo nipa kula familia yangu mtu kumuamini mtuni ngumu sana naweza nikaweka lesen hapa na nikwa nimedit na ukaniamini ukanipa pesa yako na bdo nikakutapeli pia na ninaweza nisiweke lesen na bado nikawa muaminifu kwa mteja kaka anguWeka kivuli cha leseni yako ya biashara hapa.
Watu hawakomi na kuna wajinga watatoa advanceKitu kinachonishangaza seke seke la Kelvin lilikuwa hivi hivi alivotokomea hakuna ambaye angeamini
Sasa na wewe umejoin JF March 18/2017.... Sijajua umekuja kwa lengo la kuwapiga watu au kufanyabiashara ndo maana mashaka hayaniishi
Hayoo umesema wewe ndugu yangu sawaa mm sipo hvyoo
Mbona huweki kivuli cha leseni yako?Asante jogi unanisaidia sana jaman uwee unaangalia bando au kama ni wifi isiwee hinasumbua unapo kuwa unandika hv wastrabu wananifta na kuniuliza
Kwani mkuu hyo dental na optometry kwa ngaz ya certificate zpo?
duh... kweli afya imedharauliwa sasa...!! division four.?
Kuna MTU alituibia pesa zetu humu,,unatoa 10%ya unachohitaji baada ya mzgo kuja unamaliza malipo,,watu tumelizwa mbaya ,,,yeye anadrma mzigo utafika after 3to5day ,tulisubiri mpaka tukachoka ni ,,tarehe tuuuMrs S, shughulikia wasiwasi wa Chuck j ambao najua wengi wanao. Kumbuka tapeli huwa hana rangi, wala kitambulisho chochote. Watu hawataki kuanza kusikia simu ya mteja huyu haipatikani. Hebu jipange upya, biashara ipo.
Kila mtu najinsi alivyoumbiwa wewe umtapeli mtu leo siku mkikutana sura utaiweka wapi ndugu yangu na asikuambie mtu jasho la mtu uwez kulila ujui alipotoa ela yake kaka angu walioniamini wao ndio watakaokuwa mashahidi siku za uson na za mbelen uko kaka anguWatu hawakomi na kuna wajinga watatoa advance
Swadaktaaaa.Biashara ni uaminifu na uaminifu unatengenezwa sio maneno matupu. Jipange upya,tafuta mtaji thenj uwambie watu waweke order unawanunulia simu,ukizifikisha uku wanakulipa.
Ni kweli unachokisema kaka angu na uhaminifu kwenye biashara ni kitu cha msingi leo kesho nikudhulumu mm siwez endelea maana wewe utakuwa unasononeka kila siku katika maisha yako na uzur Mungualivyo mzur nimekutapel tuankutana uso kwa uso hv unadhan itakuaje na ntakuwa nimeshajiaribia biashara maana wewe ukilala mika nakupost sehemu mbali mbali nimeibiwa nimetapeliwa mm tena kwenye biashara ntakuwa sina nafas nzur kiongoz na watu tumetofautiana bossKuna MTU alituibia pesa zetu humu,,unatoa 10%ya unachohitaji baada ya mzgo kuja unamaliza malipo,,watu tumelizwa mbaya ,,,yeye anadrma mzigo utafika after 3to5day ,tulisubiri mpaka tukachoka ni ,,tarehe tuuu
Nimeleta na zimebak tatu tu na zimechukua muda kutoka ila ukileta kwa order mzigo unakua ukai ela inakua inazunguka maana mtu utegemei simu peke yake kaka anguBiashara ni uaminifu na uaminifu unatengenezwa sio maneno matupu. Jipange upya,tafuta mtaji thenj uwambie watu waweke order unawanunulia simu,ukizifikisha uku wanakulipa.
Aliyetutapeli alikuwa na swaga za aina hii hii.Ni kweli unachokisema kaka angu na uhaminifu kwenye biashara ni kitu cha msingi leo kesho nikudhulumu mm siwez endelea maana wewe utakuwa unasononeka kila siku katika maisha yako na uzur Mungualivyo mzur nimekutapel tuankutana uso kwa uso hv unadhan itakuaje na ntakuwa nimeshajiaribia biashara maana wewe ukilala mika nakupost sehemu mbali mbali nimeibiwa nimetapeliwa mm tena kwenye biashara ntakuwa sina nafas nzur kiongoz na watu tumetofautiana boss
Nimefuatilia uzi wakoNapokea order ya simu mzigo nachukulia korea nazileta kwa order unaniagizia unalipa advance mzigo ukifika unamalizia pesa unachukua simu yako
Nikweli kaka mzigo nimeleta tokea mwaka jana 12 na zimebaki simu tatu na kwasababu uwa nikienda nachukuaga na vitu vingne tofaut na simu ila mzunguko wa simu umekuwa slow mnoo ndio maana nikaona kuziketa kwa order itanisaidia sana biashara kurun fasta na cha msingi ni uhaminifu ata ukiwa na ofs kama sio muamnifu bado niyale yale nisawa ukamuajiri mdokoz akawe benk teller kwa mujinh wa tabia yake lazma atakuwa mdokoz tu ila kama sio tabia yako unafanya kaz kwa uhamifu na unawaletea watu mzigo wao inapendeza sana ndio inakuwa vizur kujenga uhaminifuNimefuatilia uzi wako
Naona una mapungufu fulani yanayokufanya uonekane kama tapeli japo yawezekana ukawa sio tapeli
labda nikukumbushe tu kwakuwa wewe ni mgeni humu jf hapo nyuma kulikuwa na mtu alikuja na staili kama yako alikuwa anaitwa kevin isaya yeye alikuwa anachukua 10%ya hela yote then mzigo ukija unammalizia unachukua mzigo wako na alikuwa na ofisi dar na watu wachache wa kwanza walipata mizigo yao akajijengea uaminifu baada ya hapo walioorder raundi ya pili wote walipigwa na ofisi walikuta imefungwa
Ushauri wangu jaribu kutafuta mtaji ununue na kuleta mzigo kwa hela yako pia kama unashindwa jaribu kuweka dhamana ambapo mteja atakuwa na uhakika wa pesa yake kama hatatapeliwa
Usione watu wanalalamika sana wengi wamelizwa humu ndani
Mm dhuluma naogopa maana wewe ukiamua kunifanyia kitu kibaya unaweza ndicho ninacho kiogopa sikuzote dhuluma na kudaiwa daah naogopa sana mmKuna MTU alituibia kama we we humu,akasema office IPO moroko Mara ooh mzigo unakuja subiri zikawa nyingi