Order ya kuprint t-shirts!

Weakman

JF-Expert Member
Jul 23, 2021
861
1,384
Ndugu!

Shule mpya imeanza na Kuna Nia ya mchakato wa kuagiza t-shirts za shule

Shule ipo wilayani Nanyumbu Mtwara

Naomba kupewa a, b, c za namna njema ya kupata mtu anayeweza kubeba order ya kusupply tshirts printed, kwa Bei nafuu

Karibuni kunipa elimu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nicheki PM Mkuu
 
Tsh 20,000/= karibu PM kwa Tshirt quality za cotton
FB_IMG_1703885298796.jpg
 
Ndugu!

Shule mpya imeanza na Kuna Nia ya mchakato wa kuagiza t-shirts za shule

Shule ipo wilayani Nanyumbu Mtwara

Naomba kupewa a, b, c za namna njema ya kupata mtu anayeweza kubeba order ya kusupply tshirts printed, kwa Bei nafuu

Karibuni kunipa elimu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Kama unaweza, fanya namna uzame K/koo, chagua material kulingana na mahitaji ya shule. Utauziwa T-shirts kwa bei nzuri sana (Jumla). Halafu check mtu anayeprint mnapatana anapiga mzigo wote.
 
Ndugu!

Shule mpya imeanza na Kuna Nia ya mchakato wa kuagiza t-shirts za shule

Shule ipo wilayani Nanyumbu Mtwara

Naomba kupewa a, b, c za namna njema ya kupata mtu anayeweza kubeba order ya kusupply tshirts printed, kwa Bei nafuu

Karibuni kunipa elimu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
habari naprint tshirt kwa bei nafuu sana karibu nikuhudumie
 
Kwa anaehitaji huduma ya designing na printing kuanzia t-shirts, vikombe, vitabu, mabango ya matangazo pamoja na stickers bila kusahau business cards na vitambulisho nicheckin coz niko na ofa nzuri kwaajiri yenu.... T-shirts tunaprint kuanzia elfu tano ya kitanzania hapo ni kama uko na logo yako pamoja n t-shirts zako na hiyo bei inazungumzika kama utakua na order nyingi. Karibuni sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom