Wazee at my age nimeshahudhuria interview nyingi za oral na written, ila ya leo wazee nisiwe muongo nimeshikwa pabaya, kama kawaida yangu nilijiandaa vya kutosha na nikahakikisha niko nondo, nikijua kuwa naenda kwenye interview ya oral na kawaida huanza na swali la introduce your self,
Ila nikakutana na benefits of duty remission 🤣🤣🤣, mpaka hapo nikawa nje ya mchezo, anza kujiuliza kwa hiyo leo swali letu pendwa halipo?? Huku unaumiza kichwa kutafuta hizo points za duty remission, unasema likitoka hili litakalokuja lazima ni-equalize,...
Hee kinaingia chuma tena cha moto kuliko cha kwanza, Wazee yani katika maswali saba just maswali mawili ndio nimetembea with full of confidence,... Sijawahi toka usahili wa oral nikiwa natetemeka na sina matumaini,..... Hebu candidates wenzangu wa custom officer niambieni kama macho yamenitoka peke yangu