Interview za oral ya Tax management officer 2 maswali yepi huwa wanatoa?

Kuhusu suala la mda halipo constant.. hii inatokana nawe umejiandaaje.. koz Oral hawahitaji explaination. Ukiwa nondo hata 6-8 minutes unacheza huyoOoOO unatafuta njia ya kwenu
 
Naombeni kujua tuliokwisha kuwahi kushiriki interview za oral ya Tax management officer 2 maswali yepi huwa wanatoa na yanakua mangapi na unatumia takriban muda gani kuhojiwa? Ivo
Subiri kwanza matokeo, ukiitwa ndio uanze kutafuta hayo maswali
 
1.Swali la duties and responsibilities za tax officer
2.Tell us your education background from primary and working experience if any
3.Tax base and Tax burden
4.Umuhimu wa kukusanya Kodi kielectronic na hasara zake
 
Back
Top Bottom