Nilichojifunza kuhusu Interviews za Oral za Utumishi

kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
6,521
12,618
Mchakato mzima umeenda poa lakini kuna baadhi ya vikasoro vidogo vidogo ambavyo utumishi mnatakiwa mvifanyie kazi, kwa mfano tuliofanya oral ya custom officer leo sijajua kama na wenzangu mmekereka kama mimi au vipi.

Ni kwamba nimegundua utumishi hawako serious kwenye oral interview kama walivyo kwenye written zao sasa sijajua kama sababu ni wingi wa watu wanaotakiwa kufanyishwa usaili au vipi, kwa mfano mimi leo nimefanyia usaili pale room number tano kuna mzee alikua ana-missbehave rules and regulations za usaili, mtu unaulizwa swali unajitahidi kulijibu kadri ya uwezo wako then yeye from no where anakukatiza anakuambia okoa muda tuendelee na swali lingine.

Yaani mpaka wale wenzake wakawa wanamshangaa.kitu kingine nilichogundua ni interview zinafanyika haraka haraka sana yani kila interview inachukua only five to 7 minutes na hawatoi chance kwa msailiwa kuuliza maswali,kwa kweli bado sijajua ndio utaratibu wao huu au ni sababu ya idadi kubwa ya watu walioitwa kwenye usaili.

Binafsi naomba utumishi mfanyie kazi hizo kasoro ndogo ndogo,ila all in all mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe,kazi inayofanywa na utumishi ni nzuri sana na tuendelee kuwatia moyo ila pia matatizo madogo madogo yanapojitokeza tusisite kuwaambia ili waboreshe huduma zao zaidi ili watoto wa wakulima wasiokua na godfathers nao waneemeke.
 
Mwalimu wangu alikua anatoa dakika tatu uwe umemaliza presentation yako, zikizidi dakika tatu imekula kwako. Kuongea sana sio kwamba ndo umetoa points sana kua breaf and smart
Asante.
mkuu.english yenyewe ya kuunga unga halafu mtu anakuambia uende fasta?anyway mimi nafanya private sector kwa sasa,ila nimejifunza kitu kwenye sahili za serikali
 
Pole mkuu ila safari moja huanzisha nyingine
 
Umetoa siri usaili wa Leo wote mnapigwa chini unawakosoa wasaili umetukana mamba hujavuka mto
 
mchakato mzima umeenda poa lakini kuna baadhi ya vikasoro vidogo vidogo ambavyo utumishi mnatakiwa mvifanyie kazi,kwa mfano tuliofanya oral ya custom officer leo sijajua kama na wenzangu mmekereka kama mimi au vipi,ni kwamba nimegundua utumishi hawako serious kwenye oral interview kama walivyo kwenye written zao sasa sijajua kama sababu ni wingi wa watu wanaotakiwa kufanyishwa usaili au vipi,kwa mfano mimi leo nimefanyia usaili pale room number tano kuna mzee alikua anamisbehave rules and regulations za usaili,mtu unaulizwa swali unajitahidi kulijibu kadri ya uwezo wako then yeye from no where anakukatiza anakuambia okoa muda tuendelee na swali lingine,yani mpaka wale wenzake wakawa wanamshangaa.kitu kingine nilichogundua ni interview zinafanyika haraka haraka sana yani kila interview inachukua only five to 7 minutes na hawatoi chance kwa msailiwa kuuliza maswali,kwa kweli bado sijajua ndio utaratibu wao huu au ni sababu ya idadi kubwa ya watu walioitwa kwenye usaili.
Binafsi naomba utumishi mfanyie kazi hizo kasoro ndogo ndogo,ila all in all mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe,kazi inayofanywa na utumishi ni nzuri sana na tuendelee kuwatia moyo ila pia matatizo madogo madogo yanapojitokeza tusisite kuwaambia ili waboreshe huduma zao zaidi ili watoto wa wakulima wasiokua na godfathers nao waneemeke.
Vipi wanauliza Maswali dizaini gani Hawa jamaa
 
Do not ignore the advice of a fool...huyo mzee mjinga kakupa ushauri mzuri..okoa muda interview haikua kwa ajili yako tu
 
Back
Top Bottom