Oral interview customs officer II nimekula za uso

Jamani nashukuru Mungu pamoja na hofu ya kuogofya niliyokuwa nayo, nimepata email ya kuitwa kazini, sifa za pekee ziende kwa Mungu wetu, jina lake lihimidiwe,.... Am really happy for this
Hongera sana mkuu Mungu akutangulie
 
Jamani nashukuru Mungu pamoja na hofu ya kuogofya niliyokuwa nayo, nimepata email ya kuitwa kazini, sifa za pekee ziende kwa Mungu wetu, jina lake lihimidiwe,.... Am really happy for this
Kada gani
 
Hongera sana, am happy for you
 
Jamani nashukuru Mungu pamoja na hofu ya kuogofya niliyokuwa nayo, nimepata email ya kuitwa kazini, sifa za pekee ziende kwa Mungu wetu, jina lake lihimidiwe,.... Am really happy for this
Hongera sana mkuu. Ukawe mtumishi mwema.
 
Custom officer II
Mwanangu hii umekula.

Sasa ni kuomba sanaa wakupangie kwenye BODA na hasa boda kubwa kama Tunduma ili ule mema ya nchi.

Usiende kuwakazia wafanyabiashara wa magendo.
Ukiwa mkaksi ni mawili WAKIROGE au KUKUA..!!!

Hii nchi ya wote KALEGEZA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hahaha wosia mkuu huu!! Nimeuchukua kaka, tuombeane nikazikabili changamoto

Back
Top Bottom