Oraimo Charger Ni Nzuri ?

Daah,mimi nina bahati mbaya sana, kila nikijitahidi kutafuta charge original naishiwa kupigwa pesa tu..
 

Jinsi ya kutumia hyo app ni hvi:
1. Fungua app bila kuchomeka charger. Subri ipime then some number ya min

Mfano kwangu ni: -320mA


2. Chomeka charger subiri ipime them soma tena minimum value.
Mfano kwangu ni 2710mA


3. Chukua number ya mwanzo bila negative: 320mA na number ya pili ikiwa inacharge: 2710mA.

Jumlisha hzo mbili unapata 3030mA ambayo ni 3.03A ambayo inaendana na charger yangu ambayo imekua rated kwa 5V 3A kma kwenye picha hapo chini. Hizo point unaachana nazo sababu si ina flactuate. Hapo utapata Ampere sahihi ya charger yako.

 
Maelezo ya hii ni kwamba. Hyo value ya mwanzo bila charger ndio current (in ampere) inayotumika na simu, ukichomeka charger bado ile current inayotumiwa na simu ipo pale pale. Kwahyo kma charger ni ya 3A (3000mA) kuna kiasi cha huu umeme utakuwa unatumika kurun simu huku bado inacharget. So kma kwenye mfano wangu hapo 2710mA ndio zinaenda kwenye battery hzo 320mA zinatumiwa na simu hutoka kwenye hyo charger. Ukiwa una charge simu or laptop simu ina switch kwenye kutumia umeme wa charger na sio battery tena kwa asilimia kubwa.

Ndio maana huwa unaona charging speed inapungua ukiww unatumia simu huku unaicharge sababu umeme unaotumiwa na simu unaongezeka na ule unaenda kwenye battery unapungua
 
Kumbe mpaka na box lake..mie nanunuaga tu wanazitundikaga sehemu..siwezi kutambua chaja og bila box lake.? Chief-Mkwawa
Charger isipokuja na box tayari ujue kuwa ni zile charger cheap na hakuna uhakika kma rating zake ni za kweli. Charger zote za oraimo na macompany yanayoeleweka huwa zinakuja na box lake.
 
Daah,mimi nina bahati mbaya sana, kila nikijitahidi kutafuta charge original naishiwa kupigwa pesa tu..
Ukiwa unanunua charger tumia app ya Ampere kutest kma inafikia kiwango chake kilichoandikwa kwa upande wa Current (Ampere). Jinsi ya kuitumia ni kma nilivyoandika hapo juu. Baadae ntaandika uzi kuhusu hyo app.
 
Charger isipokuja na box tayari ujue kuwa ni zile charger cheap na hakuna uhakika kma rating zake ni za kweli. Charger zote za oraimo na macompany yanayoeleweka huwa zinakuja na box lake.
shukrani..na je..kwa mfano nkiwa na chaja og ya samsung..nikaichaji katika simu tofauti na samsung...chaja itaharibika?
 
shukrani..na je..kwa mfano nkiwa na chaja og ya samsung..nikaichaji katika simu tofauti na samsung...chaja itaharibika?
Hapana. Simu zote sikuhz zina limit current na voltage za charge kutokana na uwezo wa simu. Hvyo charger itatoa voltage na current zinazohitajika na simu. Kma simu inatumia umeme mwingi kuliko uwezo wa charger basi itacharge kwa maximum inayoweza. Kma simu inatumia umeme mdogo kuliko charger basi charger itatoa umeme unao hitajika na simu tu
 
Shukran..maana kuna dogo nakaa nae..chaja yake kaiweka ndichi hatak kushare nayeyote madai yake itaharbika..[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Shukran..maana kuna dogo nakaa nae..chaja yake kaiweka ndichi hatak kushare nayeyote madai yake itaharbika..[emoji120][emoji120][emoji120]
Charger zinakufa kwasabab ya joto. Charger kuwa ya moto sana inasababisha components zake kufail baada ya mda.

Kingine ni overvoltage or overcurrent inayoweza sababishwa na umeme kucheza cheza. Kma charger haina surge protection (kinga dhidi ya mabadiliko ya ghafla ya umeme katika socket) inaweza kuungua. Charger za bei rahisi ndio zinakufa sana sababu ya hii.
 
Either cable si nzuri, ama charger haiingizi kama walivyo advertise, jaribu kubadili waya uone.
Kwa kweli cable haieleweki labda mpaka nije nitafute nyingine , sijui ninunue ipi sasa ambayo ni nzuri .
 
izo Oraimo hakuna kitu, nnayo ya 2A inazidiwa na ya 1A na Nokia

wanaandika 2A ila kiukweli hata 1A haifiki,
 
izo Oraimo hakuna kitu, nnayo ya 2A inazidiwa na ya 1A na Nokia

wanaandika 2A ila kiukweli hata 1A haifiki,
Mkuu ni nzuri kiasi huwezi kufananisha na hizi copy za samsung, sijui tecno , sijui za itel , kwangu iko vzr ndani ya masaa mawili simu yangu hujaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…