Oppo simu Bhana!

Redmi wako na features nyingi kuzid oppo

Kuhusu update, nyingi ni security patches,lakin sio mbaya kupewa update hasa ukiambiwa unapata optimization..sjui kwann hutaki updates


Kuhusu ads,kuna settings za kuzima ads,,lakin pia global rom ndio zinakuja na ads,hakuna ads kweny Chinese miui,hata EU rom haina ads

Building quality depend na redmi ya bei.gani

Gesture zinaongezeka kila update ya miui...12.5 imekuja na gesture kadhaa,,lakin basic gesture zote zipo..

NB..kwa sasa redmi ndio brand unayoweza enjoy android to the maximum,, developers support ni kubwa sana kwa redmi phones saizi,,ukizijua redmi vzur utazienjoy sana na utafanya mengi sana.

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Shida kubwa ya Oppo ni updates...wanachelewa sanaaa sijui kwa nini yaani.
 
Kaa vizuri na watu mkuu wakuelekeze!!? Unaamini imei kwenye samsung unabadili vizuri tu!!? Nna mwanangu yupo majengo pale Moshi anakwambia mpelekee android yoyote ile anabadilisha na mwingine yupo mbuyuni
Sasa mbona unawachoma Masela wako??🤣🤣
 
Hapo kwenye NB umechemsha mkuu... redmi wahindi wanakudanganya mkuu xiaomi redmi and notes ndizo zinaongoza kuguswaguswa kindezi

Xiaomi ukitoa Mi series zinazobaki hamna kitu niliwai ona custom kernel ya performance and kuongeza refresh rate 60Hz to 76Hz kwenye note 8 nilicheka kufa. Xiaomi redmi na note zinaongoza kua na madeveloper uchwara
 
Kwanza Wahindi hawanidanganyi mimi,, naongea kwa experience kua kwa sasa Xiaomi ndio iko na developers support kubwa...sasa kesi yako ya kernel ndio useme developers wake uchwara ? Nakupa simple mods tu... hakuna simu yenye gcam support kubwa kama xiaomi hadi sasa, ports zimejaa kama utitili kuliko simu yoyote....

Nenda kweny magisk modules huko ndio utakimbia....

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Security patches ndio zitoe updates ambazo ukisoma details ni fixed xxx bugs, fixed xxx bug, fixed ....

Inategemea Redmi ya bei gani
Hapa naisema Redmi latest kwenye line ni simu imeingia sokoni 2021 nikanunua 700,000 kasoro. Nalinganisha na Oppo iliingia sokoni 2018 nikanunua 2019 kwa 450,000 hivi. Hapo Redmi ilitakiwa ioneshe gap kwenye OS

Gestures kuongezeka kila update hiyo ni kila simu ila kwa nini hii isije na vitu vingi zaidi kuliko inavyokuja. Mpaka wajifikirie makosa na maoni wanayopata ndio walete frequent updates

Ndio maana Chief Mkwawa anasema nikitaka kuenjoy Redmi nijiongeze, na hapo unavunja warranty. That means yenyewe haijitoshelezi, mbona hakuna anayesema ukitaka enjoy Oppo tumia launchers au tegemea developers
 
Mara nyingi watu hununua Xiaomi na kuweka custom rom, Miui ni kama software ya zamani ya Samsung ile TouchWiz, ipo bloated sana.
Watu hawataki kukubali Redmi ina software mbovu. Hiyo Software ya zamani ya Samsung mwenyewe niliikimbia. Na hapo nishatumia Honor iliyokuwa chini ya Huawei, nishatumia Huawei wenyewe na hii Redmi ila Oppo software wana Color niliipenda zaidi, that's why OnePlus ameanza kuitumia
 
Kama nikivyokwambia update sio mbaya kwa simu yako,,,wakifix kitu basi ni nzur kwako...so far miui bado haijatulia 100% iko na some glitches bado..ndio mana wanapambana na updates kana enhanced miui 12.5..mbioni kuelekea 13

Gesture mkuu kwangu sioni kama ni big deal mana gesture za msingi zote zipo


Yes redmi ukitaka kuifaidi uwe mtu w kuijiongeza..tho hata yenyew kweny customisation ipo full...sema watu wengi wanauziwa global rom ambayo tayar google kuna features hawazitaki hivyo huez zikuta...

Ukitaka kufaidi MiUI nunua Chinese version,au nunua global kisha weka EU version,,, utapata true MiUI na hutojuta.... hivyo inataka ujiongeze kidgo na haya yote ni google.

So ukiongelea redmi hasa yenye pure miui basi oppo hawez hata sogelea...ndiomana hata Kweny global markets bado oppo kaachwa sana nyuma...

Redmi bwana ndio anaekupa uwanja Mpana wa kuenjoy simu yako...kama ww ni mtu wa kujiongeza ndio utafaidi to the maximum..

Mimi hata nikinunua oppo nitataka nifaidi vitu vingine ambayo itanipa shida coz developer support ya oppo bado ndogo compared na Redmi.

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…