Oppo gan hiyo mtu akiiba anaitupa mkuu!!? Kama niliweza kutekenya simu yenye Samsung email na pass ikarud kama mpya sembuse hiyo..... Simu peke yenye sifa unayoisemea hapo ni iPhone kwenye icloud tu kwa mtazamo wangu
Find my device
Na IMEI huwezi badili jombi
Sony nilichunguza nikagundua wako mbali zaidi ya smartphone zingine mfano sony yenye ram 4gb inakuwa more powerful kuliko brand yoyote yenye ram gb6 au zaidi. Hawa jamaa wako mbele sana hata display zao super amoled yenyewe haikuti mfano xperia xz3 na galaxy note9 xperia imefunika kila kitu kwanzia kamera battery life hadi performance wakati yenyewe ni 4gb ram na note 9 ni 6gb ram.mkuu sony ana path yake nyengine, Gcam ni computational photography yenyewe inatumia alogarithm mbalimbali ku enhance picha hata kama hardware sio nzuri ina faida na hasara zake, sony yeye hasa simu za sasa zina target proffesional ambao hata hawana time na Gcam, zina hardware nzuri, phase detection, variable aperture na mambo kibao anbayo huyakuti simu za kawaida
Kuna oppo idnilifikiri ina technologia zingine kumbe ni hizo? Mbona zinachezewa sana?
Isitoshe iko hivi man hiyo tech samsung wanayo matoleo yao ya siku nyingi sana.
Ww kama umeona juzi kwenye oppo. I am sorry nakuambia hiyo mifumo inachezewa vizur na simi inakuwa fluahed. Najuaje? Ndio kazi zangu
Oppo huwezi flash kindezi bobnilifikiri ina technologia zingine kumbe ni hizo? Mbona zinachezewa sana?
Isitoshe iko hivi man hiyo tech samsung wanayo matoleo yao ya siku nyingi sana.
Ww kama umeona juzi kwenye oppo. I am sorry nakuambia hiyo mifumo inachezewa vizur na simi inakuwa fluahed. Najuaje? Ndio kazi zangu
xz3 inatumia poled, ni kioo cha amoled kama cha Samsung sema kimetengenezwa na Lg, kuhusu Ram Samsung na Xiaomi wao software zao zina feature nyingi sana hivyo zinakula ram sana compare na kampuni zinazotumia stock ama karibia na stock android kama kina oppo, sony, oneplus, motorola na wengineo.Sony nilichunguza nikagundua wako mbali zaidi ya smartphone zingine mfano sony yenye ram 4gb inakuwa more powerful kuliko brand yoyote yenye ram gb6 au zaidi. Hawa jamaa wako mbele sana hata display zao super amoled yenyewe haikuti mfano xperia xz3 na galaxy note9 xperia imefunika kila kitu kwanzia kamera battery life hadi performance wakati yenyewe ni 4gb ram na note 9 ni 6gb ram.
Nimekupata mkuuxz3 inatumia poled, ni kioo cha amoled kama cha Samsung sema kimetengenezwa na Lg, kuhusu Ram Samsung na Xiaomi wao software zao zina feature nyingi sana hivyo zinakula ram sana compare na kampuni zinazotumia stock ama karibia na stock android kama kina oppo, sony, oneplus, motorola na wengineo.
hivyo mwisho wa siku inategemea mwenyewe unataka nini, features nyingi ama speed.
Oppo sijawai kutumia ila naona still ni good device nimeona hii OPPO reno 5f ina ram gb 8 alafu ina expansion ya ram mpaka gb 13 hii imekaaje mkuuNimekupata mkuu
Oppo sijawai kutumia ila naona still ni good device nimeona hii OPPO reno 5f ina ram gb 8 alafu ina expansion ya ram mpaka gb 13 hii imekaaje mkuu.xz3 inatumia poled, ni kioo cha amoled kama cha Samsung sema kimetengenezwa na Lg, kuhusu Ram Samsung na Xiaomi wao software zao zina feature nyingi sana hivyo zinakula ram sana compare na kampuni zinazotumia stock ama karibia na stock android kama kina oppo, sony, oneplus, motorola na wengineo.
hivyo mwisho wa siku inategemea mwenyewe unataka nini, features nyingi ama speed.
Hio ni feature ya android na hata window ipo siku nyingi inaitwa paging file,Oppo sijawai kutumia ila naona still ni good device nimeona hii OPPO reno 5f ina ram gb 8 alafu ina expansion ya ram mpaka gb 13 hii imekaaje mkuu.
Hii sio feature mpya kweny android bossRam expension IPO Ivo.View attachment 2004078
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
View attachment 2004083
Nitaitafuta maana Nina tecno siielewi selfie 24megapixel baada ya wiki tatu napiga selfie zinakuwa 3megapixel na hata ukijiangalia unaona Huyu sio Mimi mkuu bei ya hiyo oppo.
Simu pekee ambazo zinatuumiza kichwa ni kuanzia iPhone 11 kwenda juuOppo gan hiyo mtu akiiba anaitupa mkuu!!? Kama niliweza kutekenya simu yenye Samsung email na pass ikarud kama mpya sembuse hiyo..... Simu peke yenye sifa unayoisemea hapo ni iPhone kwenye icloud tu kwa mtazamo wangu
Aliyekwambia service ya simu inafanyika ikiwa on nani?We jidanganye Tu babu ukiiwasha Tu unaonekana Hadi point uliosimama.
Hiyo iPhone ndo mboga SASA hiv....iPhone ilikuwa zamani SASA hiv watu wanatoa icroud maisha yanaendeleaOppo gan hiyo mtu akiiba anaitupa mkuu!!? Kama niliweza kutekenya simu yenye Samsung email na pass ikarud kama mpya sembuse hiyo..... Simu peke yenye sifa unayoisemea hapo ni iPhone kwenye icloud tu kwa mtazamo wangu
Mkuu nikuulize swali? Unahisi kwa nini kuna kamata kamata ya mafundi simu wa software?Find my device
Na IMEI huwezi badili jombi
Hapana labda hawajuiHiyo simu yako ukipigwa pale chuga stendi hata hiyo find my device itakwambia huwezi ipata tena... Pale RAIA wanakubadilishia email vizuri tu sema access baadh ya apps inakuwa inazingua