Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Operesheni ya Vua Gamba vaa Gwanda iliendelea jana kata ya Msange na baadae kijiji cha Ngamu kata ya Mwasauya katika jimbo la Singida Kaskazini. ambapo katika kijiji cha msange Mkiti wa wazazi kata, mjumbe wa kamati utendaji jumuia ya wazazi wilaya na wanachama zaidi ya mia moja walivua magamba na kujiunga na chadema katika kijiji cha msange na ngamu katika jimbo hilo la Singida kazikazini.
Leo operesheni Vua gamba vaa gwanda inaendelea mwanga mjini na kesho itakuwa lushoto.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki chadema izidi kuchanja mbuga...
Leo operesheni Vua gamba vaa gwanda inaendelea mwanga mjini na kesho itakuwa lushoto.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki chadema izidi kuchanja mbuga...