PICHA: Watanzania wameamka.. Operesheni Delete CCM Singida Vijijini

Earthmover

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
23,376
21,075
IMG_1208.JPG

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu akiwalisha kiapo cha uzalendo wanachama wapya katika Kijiji cha Msange, Jimbo la Singida Kaskazini, Wilaya ya Singida Vijijini, mkoani Singida waliohama kutoka Chama Cha Mapinduzi, katika moja ya mikutano 'Operesheni Delete CCM', uliofanyika mwishoni mwa juma kijijini hapo.
IMG_1203.JPG

Wananchi wapatao 350 waliokuwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kijiji cha Msange, Jimbo la Singida Kaskazini, Wilaya ya Singida Vijijini, mkoani Singida wakiwa wameshika kadi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) huku wakila kiapo cha uzalendo baada ya kujiunga na chama hicho kwenye moja ya mikutano ya 'Operesheni Delete CCM' uliohutubiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu, mwishoni mwa wiki.

Note: Watu wanapotambuwa kwamba wanawatumikia watu wachache bravo wanaccm niwakati wa kukata minyororo!!!
 
....

Watu zaidi ya milioni orobaini kuwatumikia watu wachache HAIWEZEKANI !!!!

IMG_1203.JPG
 
huyu salum mwalim huyu anampango wa kumtoa roho kinana kwa presha
angebadili dini angekuwa na mshiko cdm hapo anatumika kama mshumaa ataishia kama alfi na zitto.anashabikia chama ambacho kinataka kuvunja muungano.pole kijana una pupa bila kujua
 
huyu salum mwalim huyu anampango wa kumtoa roho kinana kwa presha

Kijana sijui alikuwa anangoja nini siku zote hizi. Kazi ambayo ameifanya kwa siku kadhaa zilizopita kwakeli imeonekana wazi. Kwanza ana style ya aina yake, hata lugha ya jazba bali maneno yake ni makali sana. Kweli Chadema ni tanuru la kupika vijana ili wawe wanasiasa bora kabisa. Huyu baada ya mwaka ni moto wa kuotea mbali.
ImageUploadedByJamiiForums1417504971.159287.jpg
Kama ameweza kuwafanya hivi Wanyaturu ambao walikuwa wameaminishwa kuwa CCM ndio mkombozi wao kumbe inawafanya wawe moja ya mikoa masikini zaidi Tanzania basi kafanya kazi.
Watu kule walizoea Mohamed Dewji anakuja muda mchache kabla ya uchaguzi anagawa kilo mbilimbili za sukari na unga anachukua kura, sasa sijui 2015 itakuwaje.
 
huyu salum mwalim huyu anampango wa kumtoa roho kinana kwa presha

Kinana kisha kata tamaa. Yeye anajenga chama huku nyuma wenzake wanapiga pesa na kubomoa alikojenga na nyuma yake. maalimu anafuta nyao, mbona kazi!!?
 
angebadili dini angekuwa na mshiko cdm hapo anatumika kama mshumaa ataishia kama alfi na zitto.anashabikia chama ambacho kinataka kuvunja muungano.pole kijana una pupa bila kujua

mkuu nyie "viumbe"wa muddy mnamatatizo mengi sana yaani mkiona mkristo roho inakuuma ,??? someni acheni elimu ahera tu tafuteni elimu dunia viongozi wakuu wa chadema wako sitta watatu wakristo (mnyika.slaa.na mbowe) na watatu waislamu (prof safari.issa.na mwalimu)

alfi ndio kitu gani mkuu

salum mwalim ni mtu anayejielewa sana kwanzia pale IFM kule channel 10na hata kule vodacom ni mtu committed na kazi yake na mwenye misimamo thabiti
 
Kijana sijui alikuwa anangoja nini siku zote hizi. Kazi ambayo ameifanya kwa siku kadhaa zilizopita kwakeli imeonekana wazi. Kwanza ana style ya aina yake, hata lugha ya jazba bali maneno yake ni makali sana. Kweli Chadema ni tanuru la kupika vijana ili wawe wanasiasa bora kabisa. Huyu baada ya mwaka ni moto wa kuotea mbali.
View attachment 207296
Kama ameweza kuwafanya hivi Wanyaturu ambao walikuwa wameaminishwa kuwa CCM ndio mkombozi wao kumbe inawafanya wawe moja ya mikoa masikini zaidi Tanzania basi kafanya kazi.
Watu kule walizoea Mohamed Dewji anakuja muda mchache kabla ya uchaguzi anagawa kilo mbilimbili za sukari na unga anachukua kura, sasa sijui 2015 itakuwaje.

mkuu chakaza hii ofisi ya naibu katibu mkuu zanzibar sasa imepata mtuu sio yule mzigo

leo salum mwalim yuko sumbawanga anapiga mzigo yaani kwanzia aingie ofisini ni mikutano kwenda mbele wiki iliyopita alikuwa ruvuma ccm watamtambua mwalim ni nani lakini kurugenzi ya habari kazi imewashinda hawaleti hizi kazi za mwalim hapa

chakaza hata mimi ninajiuliza alikuwa wapi siku zote hizo
 
angebadili dini angekuwa na mshiko cdm hapo anatumika kama mshumaa ataishia kama alfi na zitto.anashabikia chama ambacho kinataka kuvunja muungano.pole kijana una pupa bila kujua

..... Mumejaribu Lakini Mumeshndwa, Mara Oooh Cdm Wakristo, Mara Oooh Ni Magaidi. Sijui Safari Hii Mtakuja Na Ipi
 
Back
Top Bottom