Operesheni KuKu (kufa kupona). riwaya ya kijasusi

Ilankunda1234

Ilankunda1234

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2015
Messages
4,275
Points
2,000
Ilankunda1234

Ilankunda1234

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2015
4,275 2,000
Walisema watu

Wakaonekana wanafiki
 
Kudo

Kudo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Messages
1,651
Points
2,000
Kudo

Kudo

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2017
1,651 2,000
Walisema watu

Wakaonekana wanafiki
Kifaa kilikuwa na shida kidogo, leo ndo nimerudi hewani mkuu.

Hata waliolipa wamepata leo.

Lakini utaacha kuwa mnafiki siku ukilipia hata jero tu,sio waseme wakingoja bure.

Kifaa kilizingua, tangu jpili, lakini hata waliolipia hawakunielewa, bado nimetumia garama kukirekebisha na Muda wa kuandika, bado mtu alalamike vya bure asionekane mnafiki?


Bora walionidai wakiwa wamelipa, kuliko hawa ambao hata kunipigia simu tu na kuniuliza nini shida hawawezi. Acha waendelee kulalamika tu.
 
S

Shomy . I

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Messages
416
Points
250
S

Shomy . I

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2011
416 250
Watu tunapenda vya bure kwa vya watuwaliowekeza nguvu, muda na rasilimali nyingine. Mie nimepewa Leo na nimeshaimaliza
Lipieni tu jamaa ni muaminifu sana ht aliponiambia kifaa kimeharibika nilielewa tu nashangaa leo naamka nakutana na mzigo. Sijaamka mpk nimemaliza
 
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Messages
8,043
Points
2,000
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2012
8,043 2,000
Japo sijaisoma ila nakupongeza. Ila kuna stori moja uliifanya fupi sana.
Bado sijamaliza zilizopita, ila hongera kwa kujituma kivyako vyako.
Tunga tu mkuu, watu tutakuunga mkono.
 
Kudo

Kudo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Messages
1,651
Points
2,000
Kudo

Kudo

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2017
1,651 2,000
Japo sijaisoma ila nakupongeza. Ila kuna stori moja uliifanya fupi sana.
Bado sijamaliza zilizopita, ila hongera kwa kujituma kivyako vyako.
Tunga tu mkuu, watu tutakuunga mkono.
Ahsante Sana.
 
Tito kihodombi

Tito kihodombi

Member
Joined
Apr 1, 2019
Messages
50
Points
125
Tito kihodombi

Tito kihodombi

Member
Joined Apr 1, 2019
50 125
Pole Sana kama huwa nakukwaza hadi uone naringa kiasi hicho!!

Pia nisamehe kwa maringo yangu yanayokukwaza!!.

Tazama sehemu ya tatu jana nimejitahidi kuiposti saa saba usiku nadhani utaelewa kwa nini iwe huo muda wewe ukiwa umelala.

Lakini nisamehe pia kwa kuwa huwa naipeleka whatsapp wakati wewe unataka usome bure kabisa bila hata kunitumia vocha ya kukwangua nijiunge ili usome!!

Lakini pia naomba nikuulize upo nchi gani ambayo huwezi kupata mia tano tu (500) ya kununua riwaya mwanzo mwisho?.
Huna whatsapp tumia email, huna email tumia whatsapp..

Nchi yoyote Duniani unaweza kunitumia na nikapata mia tano tu, au elfu moja ikizidi sana huwa elfu mbili.

Na mwisho nikukumbushe kuwa hii ni kazi kama kazi zingine wala si kufurahisha watu bure, ndo mana ili uandike lazima ufanye utafiti kwa kina ikibidi usafiri mkoa au nchi kutafuta ukweli wa kile unachotaka kuandika.

Nadhani umeona kuna mdau huko juu kanitisha kwamba naandika vitu deep sana, unadhani nikiandika kwa kukurupuka bila tafiti nitapata vitisho hivyo ambavyo watu wanakuja hadi pm kuniomba nipunguze ukweli katika riwaya zangu hizi? Unajua garama inayotumika hadi naandika kitu kinachokuvutia bila kukutoa kwenye reli ya usomaji?.

Lakini dada yangu nikwambie kitu, duniani hakuna kitu cha bure na ndo mana hapa Jf unanunua vocha na bado google wanakulipia ili uingie bure kwa kuwa wanamlipa Melo. Kama wasingekuwa wanamlipa basi tungeingia kwa kulipia kama zilivyohuduma zingine duniani za kupata habari!!!

Narudia tena kukuomba radhi kama nimekukwaza ama nimekwaza yeyote kwa utaratibu wangu huu, ila hii ni kazi kama kazi zingine na ndo mana ina hati miliki kila kazi unayoona naweka hapa na huko pia nalipia ili kulinda kazi yangu.

Hivyo nisamehe bure kwa maringo yangu yanayokukwaza lakini jifunze kuheshimu kazi za watu bila kutoa lugha ya kuudhi ama kukera. Wapenzi wa riwaya hawana lawama wanajua ugumu wa kazi na faida wanazopata kwa kusoma kazi za wengine!!.

Afu mi niko poa Sana sema gubu lako tu, mimi wengi nimekuwa nawapa bure kama hawana pesa!! Waniomba kistarabu tu nawaelewa!!
Wapo hapa labda watakupa ushuhuda wa vile nilivyo.

Lakini pia kuna wezi wa kazi za watu, ukiweka hadi tamati anachukua na kuwek kwenye page yake au blog na kuuza! ....


Nimeamua kukujibu kirefu ili unielewe na wengine wenye kuniona nina maringo nao wajue kwa nini ipo hivyo!! Hakuna mwandishi anaetoa bure siku hizi,hii ni kazi kama kazi zingine!!

Nisameheni wote niliowakwaza!!
Umeeleweka vyema mkuu
 
L

Laki Si Pesa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2018
Messages
1,417
Points
2,000
L

Laki Si Pesa

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2018
1,417 2,000
we jamaa una roho mbaya sana
 

Forum statistics

Threads 1,334,800
Members 512,099
Posts 32,487,265
Top