Wacha mdau atoe dukuduku lake..Wewe ni nani mpaka umpangie nini aseme?
F.Y.I: Ugoigoi ktk Usilamu umekuwa well documented ktk Koran na vyanzo vingine ktk 'dini' hiyo ielekezayo watu ktk maangamizi.
Ktk ukristu hutokuta ushoga au upedofilia umekuwa documented popote..
Sawasawa?
Watanzania sisi acha tu!
Mijadala inayohusu dini inaonekana kutugusa sana. Kulikoni?
Hivi imani za dini zinatupa kitu gani katika maisha yetu? Mafanikio hewa? (psychological relief)
Muathirika wa akili na kung'amua mambo nadhani utafanya jambo jema sana ukinyamaza, kwa sababu huna cha maana unachoandika, nimekwambia katafute watindia ubongo wenzako ujadiliane nao.
Mnaboa nyieeeeeYote ulosema, wengine tumeshayasema hapa mara kemkem. Mie naamini kabisa kuwa Mods na wenzake aidha wana-enjoy, wapo behind hii tabia au ndio hawaoni kuwa hii kandia ya makusudi ya dini za watu ina undermine mission nzima ya hii JF.....
Wewe ndio unadhibitisha jinsi ulivyo na thinking capacity ndogo.....unam judge mtu kwa jina? tena nick name ya JF?Sina muda wa kufanya debate na wewe kutokana na jina lako pekee kuonyesha uwezo wako mdogo wa kung'amua mambo, hicho ni kipimo tosha kwangu kung'amua kuwa una utandu wa ujinga kichwani mwako, katafute watindia ubongo wenzako labda mnaweza kuelewana.
Mnaboa nyieeeee
sijawahi kuona na kusikia maandamano ya ile dini nyingine wakipaza sauti kisa dini yao inanyanyaswa....ni wanyenyekevu tu.....
Sheikh ni mtu mkubwa dinini kwenu matamshi yake yana watu kibao nyuma yake pamoja na kwamba sio msemaji rasmi wa dini yenu....
Shehe kachemka vibaya....ni kama maaskofu mashoga wale pamoja walikuwa ni wale na vitendoi vyao lakini walitia doa katika dini ile
Wewe ndio unadhibitisha jinsi ulivyo na thinking capacity ndogo.....unam judge mtu kwa jina? tena nick name ya JF?
nenda bbcswahili.com dila ya dunia sikiliza matangazo yameisha matamshi sio ya shehe mmoja ni msimamo wa waislamu woote....inawezekana wewe na wengine hamjapendezwa na matamshi hayo na kutaka kuyageuza kuwa ya shehe mwipopo wakati dada,kaka,baba na mama zenu bongo wameyakubaliMwenzako mwenye utindio wa ubongo kama wewe ameshakubali kuwa yeye ni Goigoi mwenye fikra potofu zenye utandu wa ujinga, nawe badilisha nickname yako na ujiite kama yeye kwa sababu sioni tofauti kati yenu.
nenda bbcswahili.com dila ya dunia sikiliza matangazo yameisha matamshi sio ya shehe mmoja ni msimamo wa waislamu woote....inawezekana wewe na wengine hamjapendezwa na matamshi hayo na kutaka kuyageuza kuwa ya shehe mwipopo wakati dada,kaka,baba na mama zenu bongo wameyakubali
INGAWA madai ya wasomi wa Kiislamu ni kwamba CHADEMA inatawaliwa na Wachagga na watu wa kaskazini, ukweli ni kuwa kuna mengi mengine yasiyosemwa yanayowakera Waislamu.
Katika waraka wa siri unaozagaa miongoni mwa Waislamu (ambao pengine umepandikizwa na vyama vingine) ni kuwa viongozi wa CHADEMA wamekubaliana na viongozi wa Kikiristo nchini kuhakikisha kwamba nchi hii haiwi mwanachama wa IOC na wala Waislamu hawapewi mahakama ya Kadhi milele.
Na kwamba baadhi ya viongozi wa makanisa wamesema watawashawishi waumini wao kukichagua CHADEMA 2010!
Hili la viongozi kuwa ni watu wa Kaskazini tu ni kiini macho cha yale ambayo Waislamu wameshindwa kuyasema hadharani. Je, hivi kama mtu mwenye wa kuongoza ni Mchagga au Mbulu au Mmasai basi Wazaramo na Wanyaramba wasijiunge na chama hicho. HIli linaleta kweli?
Chadema wanapaswa kuwa makini sana hapa maana inaelekea kama vile kuna mkono wa mtu hapa.
Ni dhahiri kwamba CCM ina miezi michache tu ya kufanya uamuzi wa aidha kuwabeba au kuwatelekeza waislamu katika madai yao mbalimbali.
Hilo linaelekea linaweza likashindikana na hivyo chama tawala pengine kinahangaika kwa hivi sasa kuhakikisha kuwa kinawachafulia wengine kura zao kwa kuonesha kuwa nao pia hawana lolote watakachowafanyia waislamu pindi wakiingia madarakani.
Ingawa yapo madai kuwa vyama fulani na viongozi wao wanasema waziwazi kwamba nchi haiwezi kuongozwa na mtu yeyote kutoka makabila makubwa au tajiri hapa nchini kama vile Wahaya, Wasukuma, Wachagga, Wanyakyusa au watu wakorofi kama Wakurya na Wamasai!
Kwa Watanzania huu ni mtihani mkubwa sana. Maana kama tumeanza kutumia dini kukubali au kukataa kiongozi au chama fulani basi ni dhahiri kuwa kwa necha ya binadamu kila mtu ataanza kuvutia ngozi upande wake.
Iwe chama tawala au vile mbadala wajue kwa kuitumia dini kisiasa mambo yatakuja hatimaye kuwageukia wenyewe. Huko huko ndani ya CCM watu wataanza kupigiana kura kutokana na dini ya mtu. Na hapo kitakachofuata wote........ tunakijua isipokuwa kuna wengi hawataki kukubali ukweli wake.... na madhara yake makubwa kwa vizazi vijavyo hapa nchini.
Waislam nchini wapinga oparesheni Sangara
Geofrey Nyang'oro na Zaina Malongo
WAUMINI wa dini ya kiislam wamepinga oparesheni sangara inayoendeshwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa madai kuws chama hicho na operesheni hiyo, haina manufaa kwa uisalam kwa kuwa imejaa ukabila, ubinafisi na udini
Huyu sheick ni lazima akapimwe akili la sivyo habari zake zisiripotiwe kabisa,nashangaa kwanini kama kweli kauli yake haiwakilishi waislam basi kwanini hakuna muislam aliyejitokeza na kupinga kauli hizi ili kuondoa migongano isiyolazimu kwenye jamii....Opereshen Sangara imepingwa kwasababu haina manufaa na waislam...Vita dhidi ya ufisadi ni vita dhidi ya uislam? Ama ni kuwa kinyume na Mh Rais equals to kuwa kinyume na uislam? Je mtu huyu katumwa ama ni fyatu?
Wakizungumza kwa nyakati tofauti kwenye kongamano la kiisilamu,lililofanyika jana jijini Dar es Salaam, walisema oparasheni Sangara imekuwa ikimchafua rais Jakaya Kikwete bila sababu licha ya mambo mengi mazuri, aliyoyafanya kwa taifa.
Once again...Hilo kongamano la kiislam lilikuwa likijadili kuhusu JK kama musilam na si kama rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...Huyu sheick ni hatari sana kwani maneno yake ni hatari licha ya kwamba hayana kichwa wala miguu kwani yanajichanganya...Je ni mtetezi wa mafisadi ama uislam? Sijui sana kuhusu oparesh Sangara lakini tunajuwa kuwa tulishampa JK benefiti of doubt ili tuone hatua gani zaidi zitachukuliwa dhidi ya watuhumiwa wote wa ufisadi na haki kuchukua mkondo wake....Kwa kuhitimisha hapo juu inamaanisha kuwa kumchafua JK equals to kuuchafua uislam.
Shekhe Saidi Mwaipopo aliwataka waisalamu kutambua kuwachama hicho, hakina msaada wowote wa maendeleo ya uislamukutokana na chama hicho kujaa ukabila udini na ubinafisi.
"Napenda waislamu muelewe kuwa chama cha Chadema hakina msaada wowote juu ya uislamu na kimekumbatia udini, ukabila na ubinafisi kutokana na sababu hiyo, tutatembea nchi nzima kuwaeleza wanachi ukweli wa jambo hili na kuwataka wasikiunge mkono chama hicho,"alisema Mwaipopo.
Akizungumzia Oparasheni Sangara, alifafanua imekuwa ikichafua rais Kikwete bila ya sababu za msingi kwa kuwa rais huyo tangu ameingia madarakani amesababisha mafisadi kukamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya Sheria.
Hapo juu tunaweza kuona ni kwanini wengi wetu tunaweza kuwa na mawazo kwamba huyu mtu katumwa..Kwanza alianza na udini,then akahamia kwa Rais,na sasa kwenye chama wakiunganisha siasa ,dini ya uislam,chama,rais na opareshen sangara. Nashindwa kabisa kumwelewa huyu sheick kwani kuna wakati anazungumza kama anawawakilisha watanzania halafu then kama anawawakilisha waislam. Isitoshe wakati mwingine kama wapinga ufisadi lakini akiuuhusisha mpango wa Sangara wa CHADEMA na vita dhidi ya uislam na si ufisadi...Connection waliyoitowa ni JK,Je na yeye amekemea maoni hayo ama ni siasa zao?
Pia alisema kipindi hiki cha Rais Kikwete kumekuwa na uhuru mkubwa wa kuabudu kutokana na serikali yake kuruhusu mihadhara ya kidini ambayo, ilikuwa ikizuiliwa na serikali ya awamu ya tatu.
Mihadhara inahusiana nini na opareshen sangara?
Mwaipopo alisema kama oparesheni Sangara ingekuwa ni ya kweli basi ingekuwa tayari kutaja baadhi ya sifa ambazo Rais Kikwete amekuwa akizifanya badala ya kumchafulia jina lake kila inaopoendesha mikutano yake.
Wanataka JK apewe sifa na CHADEMA,ok sasa si waseme tu wanataka CHADEMA waende ama wawe CCM,what make these parties unique? Kusiwe na criticism? Nakubali kama kuna sifa basi JK apewe,kwani ni mara ngapi hapa hata Zitto kamtetea JK? Ama waislam walioko CHADEMA hawa count? Ama ana assume kuwa nchi hii iwe ya kiislam? Je kumsifia ama kutomsifia Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzani kuna uhusiano gani na kuupenda ama kuuchukia uislam?
Alisema kutokana na ubinafisi wa chama hicho, kimeshindwa kuviunga mkono vyama vya upinzania vya Chama cha Wananchi (CUF) na Sauti ya Umma (SAU) vinavyoshiriki uchaguzi mdogo wa Jimbo la Mbeya vijijini ambao unaotarajia kufanyika mwezi huu.
Katika hatua nyingine, Mwaipopo aliwataka viongozi wa dini za kiislamu Mashekhe na Maimamu kuingia kwenye siasa kuanzia nafasi za serikali za mitaa hadi ubunge ili kwenda kuwatetea wananchi.
Alisema kama viongozi hao wa dini hawatajitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi mambo yao, mengi yataendelea kukwama kutokana na kukosekana kwa watetezi kwenye vyombo vya maamuzi kama ilivyokuwa kwenye mahakama ya kadhi.
Kama nilivyosema hapo nyuma...Habari hii sijui kwanini hata imechapishwa...Unless kweli ni tamko la waislam,ama kama sheick ni mwanasiasa kwani kauli zake hazina busara kabisa...Tumeshasikia kauli nyingi za viongozi wa dini lakini hizi ni mbaya zenye malengo ya kupanda chuki mbaya ya kidini katika jamii ya watanzania,Watanzania ni lazima tuweke utaifa mbele...Nilisema hapo nyuma kuna wakati sheick huyu ana assume kuwa anawawakilisha watanzania wote...At the same time anawashauri viongozi hao wa dini ya kiislam wagombee nafasi za uongozi kwasababu ya kile alichokiita "Mambo yao" Halafu baadae akatoa reference ya mahakama ya kadhi. Je ametumwa?na kama katumwa,je katumwa na waislam,chama cha mapinduzi,mh Rais ama both?
Akisoma tamko la waislamu hao, kuhusu OIC na Mahakama ya Kadhi katibu wa Baraza la habari la Kiislamu Tanzania (Bahakita) Shekhe, Sadick Godigodi alisema wamekubaliana kwa kauli moja kusubiri kauli itakayopotolewa na serikali.
Kutokana na hatua hiyo, waislamu hao wamesimamisha maandamano waliyokuwa wamepanga kufanyika mapema mwezi huu kwa lengo la kuishinikiza serikali kutoa tamko lake kuhusiana na Mahakama ya Kadhi na OIC na walisema kuwa watatoa kauli yao baada ya serikali kutoa tamko.
Mwananchi Read News
Sheick huyu ameprove kuwa mdini na hatari sana kwenye jamii yetu inayohitaji kuulinda umoja wetu kama mboni za macho yetu,kuna makabila mengi sana nchini mwetu na dini pia,lakini sheick huyu ameuinganisha opareshen SANGARA kwenye mtiririko wote huo na huku akihusisha chama hicho cha upinzania na tuhuma hizo mbaya na hatari zenye chuki na malengo ya kugawanya....Waungawana mnaweza kuendelea na debate yenu ya uislam vs ukristo ila nilionelea niichambue habari kama ilivyoletwa ili kutoipindisha mada at least kwa wakati huu.
Kwa hiyo BBC wamehoji waislamu wote wa Tanzania ndio wakawaambia huo ndio msimamo wao? Hebu tutolee pumba zako hapa na uzipeleke huko kwa mabwabwa wa akili wenzako wenye utindio wa ubongo kama wewe.
ndio wakuu msomeni na Jokakuu haya sio maneno yetu unless hamtaki kuamini ndugu zenu walioshirikiana kutoa kauli hii.sawa mie na boa wewe ni bab'kubwa....lakini ahadi yangu ya kukufanyia DRE ipo palepale, mmmmmmwwwwwwwwwwwwaaaaaaaaaa!! LOL..
wandugu,
..kuna chombo kinaitwa BARAZA LA HABARI LA KIISLAMU TANZANIA -- BAHAKITA.
..kulingana na matangazo ya BBC, BAHAKITA walikuwa na mkutano wao kujadili hali ya kisiasa Tanzania.
..Hussein Msopa, msemaji wa BAHAKITA, amedai kwamba kwa muda mrefu wamekuwa wakivichunguza vyama vya siasa na wamefikia conclusion kwamba vyama vyote ni safi, isipokuwa CHADEMA.
..BAHAKITA wametoa tamko wakidai kwamba kampeni ya CHADEMA ya kuwataja mafisadi ina malengo ya kuvuruga amani na umoja wa Tanzania.
..pia Hussein Msopa amewashutumu CHADEMA kwa kile alichokiita kupuuzia maendeleo yaliyopatikana ktk kipindi cha miaka 3 ya uraisi wa Jakaya Kikwete, na kuwepo kwa ukabila na ubinafsi ktk chama hicho.
..mwisho, Hussein Msopa kwa maneno yake amesema: " sisi 'WAISLAMU' kwa upande wetu wa Tanzania tumeamua kuzunguka nchi nzima kuibomoa Chadema kwa mazingira ya Operesheni Sangara na kutoiunga mkono."
NB:
..habari hii imeniacha na maswali mengi.
..kwa mfano: what is BAHAKITA? who is behind this organization? how much influence does BAHAKITA have in the Muslim community in Tanzania?
INGAWA madai ya wasomi wa Kiislamu ni kwamba CHADEMA inatawaliwa na Wachagga na watu wa kaskazini, ukweli ni kuwa kuna mengi mengine yasiyosemwa yanayowakera Waislamu.
Katika waraka wa siri unaozagaa miongoni mwa Waislamu (ambao pengine umepandikizwa na vyama vingine) ni kuwa viongozi wa CHADEMA wamekubaliana na viongozi wa Kikiristo nchini kuhakikisha kwamba nchi hii haiwi mwanachama wa IOC na wala Waislamu hawapewi mahakama ya Kadhi milele.
Itakuwa vema ukiweka waraka huo hapa.Ahsante.