Kuwa na kundi/makundi yatakayompinga JK 2010 ni neema na wala si dhambi.
1.Katiba yao CCM haisemi kuwa Rais wao aachwe aviongoze vipindi vyote viwili vya miaka mitano mitano bila kupingwa isipokuwa ni kautamaduni tu walikojijengea kuwa Mgombea wao aachwe amalize vipindi vyote.
2.JK mwenyewe anachofanya ni nini?Mimi nilikuwa shabiki namba moja wa JK na siku alipopitishwa na mkutano mkuu nilikuwa wa kwanza kupiga kelele za furaha mtaani.Kuwa sasa tumeletewa masihi atakayetutoa jangwani.Lakini hapa ninavyoandika,leo kesho akitokea mtu wa kumpinga nitafurahi sana.
Sina hamu naye tena na nafurahi kusikia huo mkakati wa kumfanya awe Rais wa kipindi kimoja.
Ikiwezekana lipitishwe jina la Dr.Salim na siyo Lowasa,Mwandosya au Sumaye.