Huu mjadala haukustahili hata kuwepo in the first place. Sababu hauna maslahi kwa taifa. Sanasana una radicalize watu wa both sides. Ntashangaa sana kuona kama kuna mtu anatarajia dini yake kushinda such mjadalawa wa kidini... Its not gonna happen!
Mi tatizo langu ni hivi vyombo vya habari vyetu na wahariri wetu. Hivi hilo jukwaa la wahariri hawana mwongozo wa common stand when it comes to issues of national interest?... I mean hayo magazeti kuwaandika kina Mwaipopo kila kukicha kunawapa more mileage kina mwaipopo kuliko wakizunguka kwenye mihandara mwaka mzima.
Its about time wahariri waweke utaifa mbele. wakubaliane tu kuwa kwenye mambo ya national interest, lazima wawe na common stand. Hakuna kuwapa airtime au coverage kwa waharibifu wa national interests. Watu wanaogawa watanzania wanini kuwapa airtime. Hata awe mwanasiasa gani asipewe airtime. Wenzetu nchi zilizoendelea wanavitu kama hivyo. Vita ya Gazza wamarekani wa kawaida wanaoneshwa mateso ya israel tu, kwa hiyo lazima wawaunge mkono,... Lakini hiyo ni sawa kwa ajili ya national interest yao. Na hiyo nchi ndio kinara wa demokrasia.
YournameisMINE umesema kweli. Tatizo la sasa JF, mada yoyote yenye mwanya wa kuingiza Dini, basi kuna watu huingia kuutusi Uislamu, nawana julikana. Katika Thread ya "Ustadh akamatwa!!! niliwahi kuandika kuuliza kwanini ile thread inaachwa wakati masuala ya Dini ni "Private", nilijua itahamishwa haikuhamishwa. Kwanini nilijua itahamishwa, hapa katika hii forums mods hufanya mambo kwa wakati, ukisema tu mods hii thread mpya iunganishwe na thread fulani, utakuta baada ya muda wanafanya hivyo. Sasa nilipoandika hiyo post wakakaa kimya, na post yenyewe ni no. 51 (Jan 3, 2009) katika thread ya "Ustadh akamatwa!!!, niliandika ifuatavyo:-
"pia kuna suala linanitatiza, sijui kuna wakati mods wa jf hawaoni ama wanaacha. ukumbi wa dini ni "private", lakini hili limeachwa. Sasa nawashauri muufungue uwe kama habari nyingine ili tupate kujadili kjwa uhuru. Sio inaonekana ni "private", lakini bado kuna mada za dini si "private".
Eeeh! hata wewe humo kwenye kundi hilo hilo...!? Hypnotised... Hawakusoma... hawapendi kusoma... elimu dunia... elimu... ah ah ah... Sasa hata Historia ya dunia pia inakushinda kuisoma na ukaelewa mchango wa hao unaodai kuwa hawakusoma...!? Hizo elimu za chemistry au Physics unajuwa asili yake...!? Kaaazi kweli kweli!
Mmh! Sasa kwa mtazamo wako... tuchukulie kuwa hawakusoma...(!?) Je hao waliosoma na wakasoma mapaka wakasoma...! Ndipo walipo tufikisha hapa!? Unataka kunambia kwenye hiyo theory yako ya "Hawajasoma" Hao ambao unadai hawajasoma hawana mchango wowote katika uongozi wa nchi hii...! Kwa mantiki hiyo basi nchi imejaa ufisadi, elimu imekuwa bomu... uchumi clinical dead... Watz wamekuwa maskini wa kutumwa...! Azimio la Arusha... Vita vya Kagera... Maduka ya kaya... Vita vya Waujumu uchumi... Haya yote yatakuwa yameletwa na hao waliosoma.... Vipi hapo?
Wakati wa harakati za kuondoa ukoloni... wapo waliosema hawa nao... Kila kukicha migogoro tu...! Hivi watamuweza mjerumani...!?
Tunawasoma kwene historia... wakina Mkwawa na kina Mirambo...! Leo hii Wtz wanajivunia historia ya nchi hii... Lakini wanasahau michango ya hao mnaodai hawakusoma...! Hivi kweli hawakusoma!?
Hivi mtawacha lini ulimbukeni wenu...!
Zipo nyingi mkuu kule kwenye jukwa la dini......Zaidi ya yote haya, sijaona mada yoyote humu ikizungumzia wakristU hivi ama vile isipokuwa nachoona mimi ni WakristO wakichambua Uislaam kutokana na baadhi ya hoja za watu..
Unaposema waislaam hivi ama vile tayari umekwisha jitenga na Waislaam hao kuwa hamko sawa, yet wakifanya ya kwao utamsikia mtu huyo huyo akidai sisi wote sawa!..
Usawa huu wa kuitana WALE au HAO uko wapi na nini mipaka yake!..
Mfumwa usisubiri ma MoD waone kwani sidhani kuna anayekaa hapa masaa 24 kumonitor kila post na kila thread. Ni vizuri ukiona jambo ambalo linahitaji uangalizi watumie PM au anzisha thread kuliulizia. HIvyo ndivyo wenzako tunavyofanya. Wakati mwingine hauitaji hata kuanzisha thread wewe mtumie mod ujumbe wa PM na watashughulikia.
Wakati mwingine wanachukua muda mrefu, hilo nakubali lakini hakuna anayewalipa kukaa hapa kuwasimamia watu wazima (or at least wanaodhaniwa hivyo).
Usikate tamaa.
Masanja,
Unajua wewe mkuu mnafiki kuliko navyofikiria..Wewe mwenyewe ndiye una wa lebel Waislaam kisha unaanza kusema mtu mwingine au husomi maandishi yako...
Kwa Elimu gani uliyokuwa nayo wewe kama sio unasoma kushinda mtihani.. maandishi yako tu yanaonyesha ufinyu wa elimu yako. Kisha wazungu wakisema Waafrika hawana elimu wajinga mbumbumbu unakuja juu na kusema wanatutukana..
Nyie mnalalamika saaaana eboo!
Masanja,
Unajua wewe mkuu mnafiki kuliko navyofikiria..Wewe mwenyewe ndiye una wa lebel Waislaam kisha unaanza kusema mtu mwingine au husomi maandishi yako...
Kwa Elimu gani uliyokuwa nayo wewe kama sio unasoma kushinda mtihani.. maandishi yako tu yanaonyesha ufinyu wa elimu yako. Kisha wazungu wakisema Waafrika hawana elimu wajinga mbumbumbu unakuja juu na kusema wanatutukana..
Nashukuru mkuu.....nimeipenda hii.....ngoja waje na hasira zao keyboard zao zinapata shida.....Mkandara,
Kumbe na wewe umo? Ninakumbuka mjadala fulani wa Wakenya na Watz. Basi Wakenya wakasema wazi kabisa jinsi sisi Watz tulivyo wakali kutetea nchi yetu mara tukichokozwa. Mtu leo akiniambia " wee Mtanzania masikini wa mwisho mwisho duniani" na aonyeshe FILM YA MAPANKI ambayo kweli yako Mwanza. Aonyeshe watu wanatapisha vyoo wakati wa Mvua hapohapo Dar. Aonyeshe watoto omba omba, masikini wa Sikonge,......... nitakuwa MKALI kama PILIPILI kichaa kutoka Mexico. Nitaanza kusema "....... mbaguzi wee, huna heshima kwa Mipingo, SIYO KWELI SISI WOTE NI MASIKINI na wala MAPANKI........" Nitaringia akina Mengi, Lowassa, Rostam Aziz, Manji, Paul Nh'wani, ....... kuwa wana mahekalu ya kutisha pale Dar, wanaendesha magari ya bei mbaya, wana ndege zao au mashirika ya ndege.
Ukweli unabaki palepale kuwa "sisi Tanzania ni masikini saaaaana..... na matajiri wachache..." Mapanki twala sisi. Omba omba ni sisi. Kiuchumu tuko mwisho mwisho. Sasa badala ya kusikilza tunavyopewa MANENO yetu na tufanye tathmini na baadaye tujipange vizuri, tunakuwa WAKALI. Hata Kikwete alikuwa Mkali alipoambiwa MAPANKI na akasema "siyo kweli". Sijui alitumia UISLAM au Utanzania kusema SIKWELI ingawa NIKWELI.
Alichosema Masanja nafikiri kwa asilimia fulani kina ukweli ila nina uhakika si asilimia 100. Nashindwa kujua hii tabia ya KUBISHA, nyie Waislaam mmeitoa kwenye Utanzania au SISI Watanzania tumeitoa kwenye UISLAAM. Siyo siri, hata mie mtu akinishika PABAYA na hasa kama nina njaa, huwa inakuwa pilika pilika na MASIKIO ya wasikilizaji kupasuka.
Naombeni Watanzania wenzangu tuwe wakati mwingine tunasikilza wenzetu wanasemaje, kuliko kuruka na hili neno la siku zote kuwa SI WOTE. Ofcourse siku zote SIYO WOTE. Hata Wazungu au Wajapan wengine ni Choka mbaya.
Hej do!!!!!!!!!!
Why should anyone believe that CCM has stoped its dirty tricks? It is my considered opinion that CCM is now using people like Sheikh Mwaipopo to sow religious discord among those that might vote for CHADEMA.
Halafu Sikonge ni mtu mzima wa forty something...!! Bongo kaaaazi kweli, mtu mzima hoooooooooooovyo, angekuwa muhogo bure mie sichukui!!
Usitoke nje ya mada hapa, umemwona Mkandara pekee yake na sio wagalatia wenzako kwasababu ndivyo ulivyo, bias kwa kwenda mbele. Issue hapa ni kuwa kama Mwaipopo anachemsha (mie pia naamini hivyo) basi deal na Mwaipopo na sio kukandamiza waislamu woooote wa TZ!! Je hilo nalo linataka mpaka uwe na digrii kulielewa?
Acheni udini na chuki zisokuwa na sababu, kama waislamu hawajasoma (kitu ambacho si cha kweli) nyie kinawauma nini!?
Mwisho, acha kupost hapa ukiwa umetoka kwenye kilabu cha pombe....ebooo!!
Kama mtu akipinga CCM unasema ni kinyume cha ELIMU yake!
Misemo unayotumia kupinga MAONI ya wengine kwa kusema maoni yao "ni ya chini", "it is so low" etc, ni kinyume cha otoaji hoja mzuri.
Zamani nimekubaliana nawe kwenye hoja kadhaa. Hukubeza ELIMU yangu wakati huo. Sasa sisemi ndio mzee basi unashambulia ELIMU yangu! Toa kasoro zilizoko kwenye hoja yangu tu. Leave my EDUCATION (or lack of it) alone.
1. Matusi haya ni sawa na kumtukana mama yako ambaye hana elimu wakati amekuzaa, amekulea na sasa umefikia kuwa dume zima, barekhe inakusumbua..
2. Kifupi unakimbia uchi ukifikiria una simu mkononi sijui uliweza vipi kubakia nayo wakati ukioga uchi, nguo zimeibiwa..
3. Umaskini wa Muislaam ni umaskini wako kwa sababu huyu ni ndugu yako ambaye kwa bahati mbaya wazazi wako hawakumwezesha kama mkristu mwingine aliyeshindwa kupata elimu vile vile...
4. Tunapotazama maswala ya umaskini wetu hatuyatazami kwa kupima kabila, dini wala rangi na kama tutafikia huko basi Maneno ya Raj Patel hayana ubishi..
5. Ama kweli MIAFRIKA ndivyo tulivyo...na kwa mtaji huu CCM itatawala milele na milele - AMIN!
Sikonge,
Swala la Kenya ni swala tofauti kabisa na hili kwanza sisi na Wakenya ni watu tofauti kwa mipaka na maendeleo yetu yanapatikana kwa mipaka. Swala la Tanzania kuwa na mapungufu na hata maneno wanayosema Wakenya yanakubalika kwa sababu hatuna undugu zaidi ya kuwa majirani..
Kinachonishinda mimi ni pale watu kama wewe mnaposema sisi wote ni Watanzania lakini bado unataka maendeleo yetu yawe kwa mipaka tena mipaka yenyewe itazame upande mmoja tu. Mnasema Waislaam hivi ama vile na hata kufikia kusema hatuna elimu wakati wewe hapo elimu yako ni ya kupima dukani. Siwezi kuamini mtu aliye graduate anaweza kuwa na ufinyu kama huu niunao hapa unless mtu huyo kashinda mitihani kupata cheti cha kutundika ukutani na sio kaelemika..
Matusi yoe haya ni sawa na kumtukana mama yako ambaye hana elimu wakati amekuzaa, amekulea na sasa umefikia kuwa dume zima, barekhe inakusumbua..Umaskini wa Muislaam ni umaskini wako kwa sababu huyu ni ndugu yako ambaye kwa bahati mbaya wazazi wako hawakumwezesha kama mkristu mwingine aliyeshindwa kupata elimu vile vile...
Tunapotazama maswala ya umaskini wetu hatuyatazami kwa kupima kabila, dini wala rangi na kama tutafikia huko basi Maneno ya Raj Patel hayana ubishi..Ama kweli MIAFRIKA ndivyo tulivyo...na kwa mtaji huu CCM itatawala milele na milele - AMIN!