Siyabonga101
JF-Expert Member
- Mar 8, 2016
- 2,424
- 2,300
Maisha ni magumu kwa mliokuwa mmezoea wizi,utapeli,ulaghai kwa kujipatia kipato bila kufanya kazi.maisha magumu sana mtaani.natamani huyu rais hata kesho aondoke madarakani. hakuna faida tuipatayo watanzania tulio wengi kwa utawala huu...
Hii ndo shida nyingine ya siasa ya Tanzania. Sasa hawa wanatia divai ya zamani kwenye kiriba kipya ndo wanachemsha kabisa.Ukawa wakiongozwa na cdm kwa jinsi walivyo na bongo za kushikiwa wakaamua wa okote uchafu ulio ndani ya hiyo ndoo ya chafu ya ccm na kula sasa baadhi yao wanaharisha na kutapika bila utaratibu.
Na washawasha!
With Bashite, till death do them apart!Magufuli for life
Hii ndo shida nyingine ya siasa ya Tanzania. Sasa hawa wanatia divai ya zamani kwenye kiriba kipya ndo wanachemsha kabisa.
Yaani mpaka kunti majala akampiku atakuwa anatamani uchaguzi ufike labda atabahatika!Ulishindwa kumuondoa Upendo Furaha Peneza akaku overtake akapewa ubunge ndio utamuweza Magufuli.
Kwanza wewe ni muhaini na kwakuwa ni verify user na unajulikana nimefurahi kuwa umeanzisha uzi kwa id yako mwenyewe...kuanzisha operation ya kumuondoa mtu aliyewashinda kwenye box la kupigia kura huo ni uasi na uhaini..
Bila shaka ulishauriana vyema na wenzio kabla ya kuanzisha uzi huu....
Wajukuu wa mzee lumumba.mnaokula ugali wa bure pale kwa babu yenu mna shida sana.ILI MPATE UHURU WA KUFANYA UFISADI NA KUPIGA MADILI??
TUNAANDAA MKAKATI AONGOZE MDA USIOJULIKANAAAA.
MAFISADI TULIENI HUU NDO MWISHO WENUU
MAGUFULI HANG'OKI ATA KIDOGO. HADI MSHIKE ADABUUU.
MUMETUIBIA WANYONGEEE, INATOSHAAA.
KAENI PEMBENI NA TENA PISHENI KABISAAA
Unajitahidi kujifafanua...Hata hiyo ndoa hakuwai kuipata...ni wakuonea huruma kwa kutafuta kiki.... ni kabinti kadogo kaliko taka ubunge viti maalum lakini akapewa Upendo Peneza kanalazimisha kipelekwe keko ili kipate kiki
Akili kubwamaisha magumu sana mtaani.natamani huyu rais hata kesho aondoke madarakani. hakuna faida tuipatayo watanzania tulio wengi kwa utawala huu...
Natamani kujua kazi yakoMaisha ni magumu kwa mliokuwa mmezoea wizi,utapeli,ulaghai kwa kujipatia kipato bila kufanya kazi.
Huwezi kusikia mtu anayepata kipato chake kihalali analalamika awamu hii kwa kuwa hakuna kilichobadilika zaidi ya kubana na kuziba mianya na matundu ya Panya kwa kutumia titanium na sio kutumia mikate kama mlivyozoea mapamya buku.
Fanya kazi upate ujira wako stahiki.
It's only because you don't even know the meaning of democracyOperesheni ya kumng'oa Mbowe utaanza lini, coz yeye ni mwenyekiti wa chama cha "demokrasia" milele.
I wonder how you guys call yourselves a democratic party.
Umenena vemaHitler alianza kwa kusifiwa mno............ Alichokifanya wote tunakikumbuka.
Hata Idd Amin alianza taratibuuuuuuuuuuu na akapendwa.
Maumivu ya kichwa huanza pole pole.
Huyu athibitiwe mapema.
Ulishindwa kumuondoa Upendo Furaha Peneza akaku overtake akapewa ubunge ndio utamuweza Magufuli.
Kwanza wewe ni muhaini na kwakuwa ni verify user na unajulikana nimefurahi kuwa umeanzisha uzi kwa id yako mwenyewe...kuanzisha operation ya kumuondoa mtu aliyewashinda kwenye box la kupigia kura huo ni uasi na uhaini..
Bila shaka ulishauriana vyema na wenzio kabla ya kuanzisha uzi huu....
Siyo ya kumngoa mkuu !!!haya Lumumba andaa maandamano ya kumtukuza Nduli.