Operation korosho na hasira za mkizi

Operation korosho na hasira za mkizi

Ninavyoona serikali imechukua hatua ya ku intervene kwenye biashara ya korosho msimu huu sio kwa sababu za kibiashara kwamba inunue kutoka kwa wakulima halafu itafute soko ya korosho hizo na ipate faida, la hasha

Nadhani sababu ni za kisiasa zaidi na pia inataka kuvunja cartel ya kinyonyaji ya wanunuzi wakubwa wa korosho. Hata kama hakuna faida kubwa itakayopatikana au hata ikiwa ni hasara kiasi basi bora iwe hivyo kuliko ku give in kwa demands na syndicates za wanunuzi
Sasa kuruhusu kuingia korosho kutoka nje ya nchi zije kuuzwa Tanzania ni kuiongezea Serikali ya Tanzania mzigo wa budget ya kununua korosho hizo, ununuzi ambao hauangalii short time commercial gain but rather long term political and economical benefits

Ni maoni yangu tu lakini

Faida kwa nchi itakaponunua korosho nyingi zaidi itakapouza itapata pesa nyingi za kigeni (foreign currency)
 
Miaka yote ambayo zao la korosho limekuwa bei yake ipo juu na kuliingizia taifa mapato ya kujivunia sehemu kubwa ya korosho ilikuwa inavushwa mpaka kutoka msumbiji na kuingizwa Tanzania na inauzwa bila tatizo lolote,na ubora wake unalingana na zile za Tanzania yaani wastani wa sot 51-54 na nuts count zao ni kati ya 160-190.

Lakini leo hii wakubwa wa operation hii wanazizuia hizo korosho zisiingie tena nchini mwetu kwa kigezo kisicho julikana ni jambo la kushangaza sana na sijui wanamkomoa nani kati ya Tanzania na Mozambique?wilaya za Tandahimba na Newala zilikuwa zinanufaika na korosho nyingi kutoka Mozambique kwani tozo zote zilikuwa zinaingia kwenye wilaya hizo sasa hali imekuwa kinyume kabisa.kweli nimeamini ule usemi wa hasira za mkizi!!!

Mkuu usiwastule,kaushaaa
 
Sisi kahawa yetu ya Kagera ndiyo inaipa Uganda FOREX za kumwaga.
Mbolea nyingi Mbeya huishia Malawi.
 
Lakini leo hii wakubwa wa operation hii wanazizuia hizo korosho zisiingie tena nchini mwetu kwa kigezo kisicho julikana ni jambo la kushangaza sana na sijui wanamkomoa nani kati ya Tanzania na Mozambique?wilaya za Tandahimba na Newala zilikuwa zinanufaika na korosho nyingi kutoka Mozambique kwani tozo zote zilikuwa zinaingia kwenye wilaya hizo sasa hali imekuwa kinyume kabisa.kweli nimeamini ule usemi wa hasira za mkizi!!!
Kwanza asante kwa kukubali serikali kununua korosho
wakinunua wafanya biashara waleteeni korosho hata kutoka china watanunua
Lakini kwa msimu huu,pesa ni ya watanzani italipwa kwa watanzania
 
Kuna magonjwa ya mimea huwa yana hama kutoka nchi 1 kwenda nyingine vip hilo umelifikiria kabla ya kulaumu
Kwa hili la magonjwa nakubaliana na wewe 100%
Kwa mfano Australia wako wakali sana kwa mambo kama haya
Yaani hata airport ukiingia na chakula au hata mbegu imekula kwako na faini juu
 
Una uhakika kulikwa na cartel katika korosho?
Cartel inafanyaje kazi ukiwa na bodi ya korosho inayotoa bei elekezi na korosho kuuzwa mnadani pia?
Wewe unavyo jua cartel hufanya kazi kwa namna gani?
 
Majizi Hayana Nafasi Awamu Hii Ya Tano
Milioni 700 watu wamepiga.
Na si mara ya 1
Mwizi hapo ni yupi mkuu?
IMG-20181119-WA0006.jpg
 
Wewe unavyo jua cartel hufanya kazi kwa namna gani?
Ndio najua, cartel inafanya kazi pale wauzaji bidhaa wanapo conspire/kukubaliana kuuza bidhaa zao kwa bei moja ya juu kuliko bei halisi ya soko kama wakiuza kiushandani.
Kwenye korosho hawa wanunuzi walikuwa wananunua kiushindani kila mtu kivyake katika mnada, juu ya bei elekezi iliyowekwa na bodi ya korosho ambacho ni chombo cha serikali, unawezaje kusema kulikwa na cartel?
 
Ninavyoona serikali imechukua hatua ya ku intervene kwenye biashara ya korosho msimu huu sio kwa sababu za kibiashara kwamba inunue kutoka kwa wakulima halafu itafute soko ya korosho hizo na ipate faida, la hasha

Nadhani sababu ni za kisiasa zaidi na pia inataka kuvunja cartel ya kinyonyaji ya wanunuzi wakubwa wa korosho. Hata kama hakuna faida kubwa itakayopatikana au hata ikiwa ni hasara kiasi basi bora iwe hivyo kuliko ku give in kwa demands na syndicates za wanunuzi
Sasa kuruhusu kuingia korosho kutoka nje ya nchi zije kuuzwa Tanzania ni kuiongezea Serikali ya Tanzania mzigo wa budget ya kununua korosho hizo, ununuzi ambao hauangalii short time commercial gain but rather long term political and economical benefits

Ni maoni yangu tu lakini[/QUOT
Hata serikali ikipata hasara ni kwaajili ya wananchi wake, kwasababu pesa wamelipwa watanzania na si wageni mimi naona sawa tu.
 
Kuna tatizo, hapo biashara ina kanuni zake, ukizikiuka undhoofisha mfumo mzima wa biashara
Hivi unawezaje kukutaa kuchukua (dhahabu) bidhaa kwa wingi na kwa bei nzuri ili ukiuza update faida kubwa?

Au selikari haijajipanga kupata faida??
Majibu ya serikali juu ya koroshom toka nje haya hapa. Tuyapime kama yans ukweli
 
Waziuze tu zakwao wanakojua. Tuko ktk vita ya uchumi mkuu. Wasije wakaweka mimawe kwenye korosho zao halafu waharibu soko la korosho zetu. Wapambane na hali yao na Mozambique yao
akili za Jiwe
 
Back
Top Bottom